Ukweli kuhusu chuo ulichosoma.

Ukweli kuhusu chuo ulichosoma.

Kairuki
DIT
CBE
Mzumbe
SAUT ndio nimeona zinaelekeana kweli
 
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.

1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.

2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.

3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.

4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.

5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM

6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.

7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.

8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.

9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.

10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.

11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.

12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.

13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.

14. Wazembe na huwa elimu yao yaweza ikawa jipu pia.
- KAMPALA.

15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.

16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.

17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.

18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.

19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.

20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.

21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.

22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJE.

KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA...nimeikuta mahali...

[HASHTAG]#Jikaze[/HASHTAG]
Ha ha ha..ukweli mtupu mtupu!

Kuna chuo changu hapo mbavu sina, maana ni ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kairuki
DIT
CBE
Mzumbe
SAUT ndio nimeona zinaelekeana kweli
Mkuu japo sijasoma Mzumbe,lakini ni moja ya chuo bora sana hapa Tanzania huwezi ukafananisha na chuo kama CBE na SAUT!
 
Mkuu japo sijasoma Mzumbe,lakini ni moja ya chuo bora sana hapa Tanzania huwezi ukafananisha na chuo kama CBE na SAUT!

Hata mie sijasoma Mzumbe
Mleta mada hajaandika kwamba ni kibaya...kaandika kitu kingine kuhusu hiko chuo
 
Hata mie sijasoma Mzumbe
Mleta mada hajaandika kwamba ni kibaya...kaandika kitu kingine kuhusu hiko chuo
Sawa Mkuu!Nadhani nimeelewa vizuri!wewe chuo chako ni kipi hapo?
 
Back
Top Bottom