Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Ndugu zangu wana JF
Kwa muda wa siku tatu mfululizo nimetokewa na malaika katika ndoto alinieleza chanzo na sababu ya Coronavirus KUUA zaidi jamii ya hawa wenzetu wanaojiita bora zaidi kuliko sisi waafrika.
Kuna mambo mawili muhimu ya kuzingatia;
1. Sababu ya kimazingira
2. Sababu za kibiolojia
NB: "Tangu ungali tumboni mwa mama yako nalikujua"
Mungu alijua dhamira ya binadamu hao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao akaamua kuisambaratisha dunia kuyafanya mabara. Akayahamisha kupelekea kaskazini zaidi kuliko na baridi nyingi kwa makusudi maalum.
Kwa kukaa katika mazingira ya baridi kali ngozi zao zilipoteza melanin kwa kiasi kikubwa sana. Kukosa melanin katika ngozi zao kukawafanya wawe weupe lakini wenye mapungufu mengi katika miili yao katika kupambana na magonjwa.
Kifupi ni kuwa immunity zao zilidhoofika. Mara nyingi hutumia madawa kuimarisha kinga zao mwilini. Ugonjwa wao mkubwa unaowasumbua wazungu tangu enzi za kale NI MAFUA
Mwaka 1918 mamilioni yao walikufa kwa mafua waliyoyapata "Spain Flu"
Yalifuata Mafua mengine kwa majina tofauti hadi tukaambiwa kuna MAFUA YA NDEGE, KISHA MAFUA YA NGURUWE NK
UHUSIANO WA MAFUA NA MAZINGIRA
Kwa wale waliowahi kuishi sehemu za baridi kama Iringa, Niombe au Mbeya watakubaliana nami kuwa
1. Maeneo hayo yana high pressure yaani mgandamizo mkubwa wa hewa.
Maana yake nini: Kukiwa na mgandamizo wa hewa hewa tunayopumua hutoka vinywani mwetu na haraka sana buganda hewani tofauti na sehemu za kitropiki ambako kuna low pressure ambapo hewa tunayopumua husambaa na kwenda juu.
Tunachopumua hapa kwetu hupaa juu kutokana na hali ya hewa ya joto. Hivyo basi wadudu wa maambukizi kama TB huweza kutenda kwa kasi katika nchi za baridi kuliko nchi za joto. Kwa mantiki hiyo maambukizi ya magonjwa ya hewa huwa ni ya kasi kwasababu ya hali ya hewa.
Kwa nchi zilizo katika ukanda wa joto kasi ya maambukizi itakuwa kubwa ikiwa kutakuwa na misongamano ya watu.
Maambukizi haya yanatoka kwa muathirika kwa:
1. Kupiga chafya
2. Kukohoa
3. Kupumua
4. Kugusa sehemu aliyogusa muathirika.
5. Mavazi ya muathirika
Hayo yote ni lazima yaepukwe.