Ukweli kuhusu coronavirus kuua zaidi Ulaya na Marekani

Ndugu zangu wana JF
Kwa muda wa siku tatu mfululizo nimetokewa na malaika katika ndoto alinieleza chanzo na sababu ya Coronavirus KUUA zaidi jamii ya hawa wenzetu wanaojiita bora zaidi kuliko sisi waafrika.
Kuna mambo mawili muhimu ya kuzingatia;
1. Sababu ya kimazingira
2. Sababu za kibiolojia

NB: "Tangu ungali tumboni mwa mama yako nalikujua"
Mungu alijua dhamira ya binadamu hao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao akaamua kuisambaratisha dunia kuyafanya mabara. Akayahamisha kupelekea kaskazini zaidi kuliko na baridi nyingi kwa makusudi maalum.

Kwa kukaa katika mazingira ya baridi kali ngozi zao zilipoteza melanin kwa kiasi kikubwa sana. Kukosa melanin katika ngozi zao kukawafanya wawe weupe lakini wenye mapungufu mengi katika miili yao katika kupambana na magonjwa.

Kifupi ni kuwa immunity zao zilidhoofika. Mara nyingi hutumia madawa kuimarisha kinga zao mwilini. Ugonjwa wao mkubwa unaowasumbua wazungu tangu enzi za kale NI MAFUA

Mwaka 1918 mamilioni yao walikufa kwa mafua waliyoyapata "Spain Flu"
Yalifuata Mafua mengine kwa majina tofauti hadi tukaambiwa kuna MAFUA YA NDEGE, KISHA MAFUA YA NGURUWE NK

UHUSIANO WA MAFUA NA MAZINGIRA
Kwa wale waliowahi kuishi sehemu za baridi kama Iringa, Niombe au Mbeya watakubaliana nami kuwa

1. Maeneo hayo yana high pressure yaani mgandamizo mkubwa wa hewa.
Maana yake nini: Kukiwa na mgandamizo wa hewa hewa tunayopumua hutoka vinywani mwetu na haraka sana buganda hewani tofauti na sehemu za kitropiki ambako kuna low pressure ambapo hewa tunayopumua husambaa na kwenda juu.

Tunachopumua hapa kwetu hupaa juu kutokana na hali ya hewa ya joto. Hivyo basi wadudu wa maambukizi kama TB huweza kutenda kwa kasi katika nchi za baridi kuliko nchi za joto. Kwa mantiki hiyo maambukizi ya magonjwa ya hewa huwa ni ya kasi kwasababu ya hali ya hewa.

Kwa nchi zilizo katika ukanda wa joto kasi ya maambukizi itakuwa kubwa ikiwa kutakuwa na misongamano ya watu.
Maambukizi haya yanatoka kwa muathirika kwa:

1. Kupiga chafya
2. Kukohoa
3. Kupumua
4. Kugusa sehemu aliyogusa muathirika.
5. Mavazi ya muathirika

Hayo yote ni lazima yaepukwe.
Hii ni muhimu nitaisoma
 
Italia na roma ni wakristo makafiri thays why allah anawashughulikia
Hizi dini hazikuvushi,wala hazikusaidii mkuu,ishi na binadamu wenzako vizuri tu lkn kujiona wewe Ni bora kwa sababu Ni muislamu au mkrsto Ni kukosa akili pengine pia kunachangiwa na kukosa Elimu..
 
kama Elimu ya darsani nnafukuzia thesis ya doctorate saiv..kama ni elim ya mtaani nna IQ ya 200...au unasema sina elim gani?
 
Mtu mwenye elimu ni yule alielimika. Na kuelimika kwenye ni kule ambako kunakuwezesha kuishi na watu wa jamii fulani pamoja na kuweza kutatua changamoto zao na zakwako.
 
Leta matatizo yako nitatue
 
kama Elimu ya darsani nnafukuzia thesis ya doctorate saiv..kama ni elim ya mtaani nna IQ ya 200...au unasema sina elim gani?
PhD haimaanishi kwamba umeelimika,kuelimika kunaonekana kutokana na kile unachodeliver.Unafikiaje viwango vya PhD alafu unaita binadamu wenzio makafiri.kuna elimu hapo kweli.
Kuna ambao hawajasoma lkn wameelimika,na Kuna waliosoma lkn hawajaelimika.
Sisi sote tumeumbwa na Mungu,hakuna aliepanga akiwa tumboni kwa mama yake au aliomba azaliwe mwislam au mkrsto.
Hizi Ni dini za mzungu na mwarabu. Walikopita waarabu walieneza uislam,na wazungu ukristo.Ambako hawakupita hawa watu hamna hizo dini kabisa.
Dini bora ni matendo mema duniani.mafundisho ya dini yanayokufundisha kutukana binadamu wenzio basi ni dini ya kijinga na ya kipuuzi sana.
 
Basi anzisha dini yako
 
Basi anzisha dini yako
Inaonekana hata hujui dini ni nn.Mkuu hivi unajua matambiko Ni dini pia.Au unafikiri dini ni uislam na ukristo tu. Duniani humu zipo dini nyingi sana na nyingne hata hujawahi kuzisikia. Ingia darasani
 
Najua dini ni nini..inaonekana unanidharau sana.
Kwahyo dini haianzishiki?
 
Hizi dini hazikuvushi,wala hazikusaidii mkuu,ishi na binadamu wenzako vizuri tu lkn kujiona wewe Ni bora kwa sababu Ni muislamu au mkrsto Ni kukosa akili pengine pia kunachangiwa na kukosa Elimu..
Point
 
Back
Top Bottom