Ukweli kuhusu Cristiano Ronaldo kushusha thamani ya Cocacola kwa kutoa chupa zake

Ukweli kuhusu Cristiano Ronaldo kushusha thamani ya Cocacola kwa kutoa chupa zake

Vipi ile ya Elon Musk kuvuta bangi kwenye interview stock zikashuka. Hii ilikuaje?
 
Vipi ile ya Elon Musk kuvuta bangi kwenye interview stock zikashuka. Hii ilikuaje?
Elon musk si ni CEO wa Tesla na share zilizoshuka zilikua ni za Tesla, so connection hapo iko wazi kabisa.
 
Mashabiki wa CR ni watu wa ovyo sana, hawana tofauti na mashabiki wa Sadala, kwa kifupi wengi wao ni mashabiki haohao.
 
mashabiki wa benzema lazima wamchukie Cr7 alimpoteza sana kijeba
Mashabiki wa CR ni watu wa ovyo sana, hawana tofauti na mashabiki wa Sadala, kwa kifupi wengi wao ni mashabiki haohao.
 
Ukwel hili jambo lilinshangaza sana maana hv inawzkanaje Campuny kama coca ina miaka miing sana half kitendo cha Cr7 kutoa tu chupa zake mezan et tyal hisa zshke na hasara hapo hapo ziingie kwenye campuny!??

kumbe hamna maana kufanya biashara sasa.

Nb:- ss wengne na mipira vtu viwl tofaut kabisaa
 
Msishangae bwana Ronaldo alikuwa kwenye matangazo ya cocacola kijanja, ile pale ni kuvuta attention ya watu....
 
😃😃 Coca-Cola wanasemaje kwani.....?

Screenshot_20210628-014109_1624903605044.jpg
 
Back
Top Bottom