Ukweli kuhusu degree ya miss Tanzania

Hapa bhana tayari zoezi unaempenda na usiyempenda ndo kashapita sasaa hairudiwi subiri mwakani ukosoe kabla

Kombe mwaka huu ni la Arusha jmn tulieni

Imetosha sasa jmn!
 
Mkuu FaizaFoxy amekuwa busy kurekebisha kiswahili baada ya kuona watu wanaharibu sana lugha yetu.
Siyo yule FaizaFoxy wa Mijadala ya kisiasa au kiimani. Hongera kwa kujitolea kwako.
 
Mwambieni Magufuli sisi tunasubiri viwanda , hatutaki ujinga ujinga!
 
Muacheni Miss wetu,na mwaka huu taji halivuliwi hata mkiandamana.
[HASHTAG]#GoMasaiGirl[/HASHTAG] [emoji123]
 
mtoto wa miaka 18 ana afisa habari tayari....napata mashaka kidogo
 
Bwana charles umeandika vizuri sana lakini umeharibu kwenye pagraph ya mwisho.hukuwa na haja ya kutueleza kuhusu ubikra wake sisi,au ndo mnatafuta highest bidder.au labda ndo utaratibu wa haya mashindano?
 
Nitakushitaki kama ulichokisema si kweli,maana nataka kufanya uwekezaji mkubwa sana hapo. "Ni msichana hasiye na bwana wala boyfriend na hajui mwanaume i.e mwanamwali!"
 

tunashukuru kwa kututoa ukakasi ulio kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…