Ukweli kuhusu documentary ya Yanga

Ukweli kuhusu documentary ya Yanga

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
FOOTBALL ECONOMY || Business Briefing. Akili ya Biashara inapaswa kuishi kwenye mishipa ya Damu ya Kila mfanyakazi wa Taasisi ya Kibiashara, kinyume na hapo kuna Siku yatatokea madhara ambayo ni makosa ya kibiashara na kuigharimu Taasisi.

Nimebahatika kupata baadhi ya vipande vya Documentary ya Yanga, Idea yao ya kuja na Documentary sio mbaya ila namna walivyoifanya ndio inaleta ukakasi kiasi haswa kwenye mlengo na maono ya Kibiashara. .

Kama Documentary haina Sehemu kocha na nahodha waanaongea kuhusu mustakabali wa timu unaiitaje hii ni documentary ya msimu ya Timu? sio kocha mkuu wala msaidizi au ni hadithi ya chuki na kukomeshana? .

Sote tunajua Yanga na Azam Media niwashirika wa maudhui ambaye na Azam anawalipa Mamilioni ya Pesa ili kupata EXCLUSIVITY, Lakini cha ajabu zaidi na zaidi ni Yanga kuwashukuru kwa shukrani Rasmi Media zingine halafu bado wanakwenda kuionesha Azam. .

Kingine kilichonishangaza ni video za kuunga unga (Poor Quality), Yaani Klabu kama Yanga yenye mshirika kama Azam inachukua magoli na highlights zake kwenye mitandao tena zenye watermark ya Azam na kuweka vipande kwenye historia ya Msimu? .

Kubwa niseme hii sio Documentary ya Yanga, hii ni Hadithi ya Eng.
Hersi na Makamu wake Arafat Haji katika safari ya msimu wa 2022/2023.

Wamepata bahati Yanga haina watu WENGI wa kuhoji sababu ya umasikini wa mali na FIKRA. .

Haijalishi kama naipromote au laah ila mkiiangalia mtanielewa, Documentary yote haielezei Soka la wanawake wala Vijana, Sasa unajiuliza hii ni Documentary tumejifunzia wapi kutengeneza? Naongea kwa muktadha wa maoni na mabadiliko. .

Idara ya Masoko na Digital za Yanga zinazidiwa nguvu ya maoni na maono kutoka kwa viongozi wao. Watu wa Masoko wanategemea wingi wa mashabiki na sio ubunifu wa kuuza Bidhaa za Klabu.

Digital Bahati mbaya Haina FOCUS inacheza kila NGOMA. .

Mwisho niseme wazo ni Zuri mnoo, Lakini Execution ilipaswa kuwa ya kuiuza sana Timu sababu watu wanaweka hela kwa timu sio watu, Hii sio taarifa ya Mradi hii ilipaswa kuwa burudani na taarifa za timu nyuma ya Pazia. . YOWERI MUSEVENI .

NB: Hakuna Historia ilokamilika, Ni Show-Off ya Viongozi
 
Yani timu kubwa kama yanga inaenda kuchukua vi clip YouTube kwenye account za watu na kuviweka kwenye DOCUMENTARY wakati Azam anazo tena za HD[emoji23][emoji23]
Labda niku ulize una elewa maana ya documentary? kaangalie documentary ya Christian Ronaldo au ya Real Madrid kama hauta kutana na footage clip kutoka sources mbali mbali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
HERSI amekuja na wazo la documentary
MO' amekuja na wazo la bilioni 3 na la kulalamika
 
Natamani nikujibu kwa hoja ila mwanzo umesema umeangalia vipande vipande ila namna unaitafsiri ni kama umeiangalia yote. Nashindwa kuelewa na napata hisia una chuki zako binafsi ulikua unatafuta pa kutolea
 
FB_IMG_1691780136424.jpg
 
FOOTBALL ECONOMY || Business Briefing. Akili ya Biashara inapaswa kuishi kwenye mishipa ya Damu ya Kila mfanyakazi wa Taasisi ya Kibiashara, kinyume na hapo kuna Siku yatatokea madhara ambayo ni makosa ya kibiashara na kuigharimu Taasisi.

Nimebahatika kupata baadhi ya vipande vya Documentary ya Yanga, Idea yao ya kuja na Documentary sio mbaya ila namna walivyoifanya ndio inaleta ukakasi kiasi haswa kwenye mlengo na maono ya Kibiashara. .

Kama Documentary haina Sehemu kocha na nahodha waanaongea kuhusu mustakabali wa timu unaiitaje hii ni documentary ya msimu ya Timu? sio kocha mkuu wala msaidizi au ni hadithi ya chuki na kukomeshana? .

Sote tunajua Yanga na Azam Media niwashirika wa maudhui ambaye na Azam anawalipa Mamilioni ya Pesa ili kupata EXCLUSIVITY, Lakini cha ajabu zaidi na zaidi ni Yanga kuwashukuru kwa shukrani Rasmi Media zingine halafu bado wanakwenda kuionesha Azam. .

Kingine kilichonishangaza ni video za kuunga unga (Poor Quality), Yaani Klabu kama Yanga yenye mshirika kama Azam inachukua magoli na highlights zake kwenye mitandao tena zenye watermark ya Azam na kuweka vipande kwenye historia ya Msimu? .

Kubwa niseme hii sio Documentary ya Yanga, hii ni Hadithi ya Eng.
Hersi na Makamu wake Arafat Haji katika safari ya msimu wa 2022/2023.

Wamepata bahati Yanga haina watu WENGI wa kuhoji sababu ya umasikini wa mali na FIKRA. .

Haijalishi kama naipromote au laah ila mkiiangalia mtanielewa, Documentary yote haielezei Soka la wanawake wala Vijana, Sasa unajiuliza hii ni Documentary tumejifunzia wapi kutengeneza? Naongea kwa muktadha wa maoni na mabadiliko. .

Idara ya Masoko na Digital za Yanga zinazidiwa nguvu ya maoni na maono kutoka kwa viongozi wao. Watu wa Masoko wanategemea wingi wa mashabiki na sio ubunifu wa kuuza Bidhaa za Klabu.

Digital Bahati mbaya Haina FOCUS inacheza kila NGOMA. .

Mwisho niseme wazo ni Zuri mnoo, Lakini Execution ilipaswa kuwa ya kuiuza sana Timu sababu watu wanaweka hela kwa timu sio watu, Hii sio taarifa ya Mradi hii ilipaswa kuwa burudani na taarifa za timu nyuma ya Pazia. . YOWERI MUSEVENI .

NB: Hakuna Historia ilokamilika, Ni Show-Off ya Viongozi
Mbona hujaweka source ya hili andiko.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom