Ukweli Kuhusu Dragons

Guys kwani Pale Bustanini c ndo Adam alikula Tunda kimasihara Basi tu kwa bible imeandikwa kimafumbo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Walipewa agizo la kuzaa na kuijaza nchi. Kwahyo lile ni tunda la mti kama mti. Ila waliambiwa wasile ili wapimwe utii wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stories za Dragons hazina tofauti na Stories za Mermaid (Samaki Mtu),

Ni vitu vya kufikirika zaidi ambavyo binadamu wamevitengeneza kwenye minds zetu. Yaani mimi ninavyowaza kuhusu hawa viumbe wa Dragons na Mermaids ni kama vile Kiranga anavyowaza kuhusu uwepo wa Sir God.
 
Tukiongelea dragon's kiujumla tunapata picha ya joka kubwa lenye nguvu miguu mabawa na uwezo wa kutema moto,katika field ya mambo yangu nilipata nafasi ya kugundua baadhi ya vitu kuhusu huyu kiumbe wapo hadi leo hii lakini hawapo wazi kiasi kwamba unaweza dhurula misituni na kumkuta,pia kwa baadhi ya imani niligundua kuna watu wanajua njia za haya majoka ambazo ni underground hasa kwenye milima mikubwa sijui wanasurvive vipi huko sijafatilia sana ila nilipata kuelezwa kuwa watu wanaojua au wanaoelekezwa kwenda kutega dhana mfano wa jambia ili akipita joka dragon aache magamba ambayo humfanya mtu kuwa tajiri(kiimani zaidi). Pia niliskia story kuhusu watu wa asia kutumia mfupa(mifupa) ya dragons katika kutenganisha maji mwenye mfupa wa kiumbe huyu anapoutumia kwa kuchapa kwenye maji hutawanyika na wao hufanya wanayotaka(Pia inanifanya nifikilie fimbo ya kijana mmoja niliyekutana nae maeneo ya milimani nilipoenda field ina uwezo wa kugawanyisha maji pindi anapochapa sehemu yenye maji anaiita fimbo ya ufalme aliyokabidhiwa), hii ilifanya pia niwaze je hii fimbo imechanganywa na huo mfupa wa dragon au ni nguvu tu za ulimwengu. Hayo ndio machache yaliyo kwenye ufahamu wangu juu ya dragon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Field gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...hiyo fimbo ya huyo kijana ulishuhudia ikigawa maji au ndio alikusimulia tu nawe ukaamini.?....hebu funguka ilikuwaje na milima ya wapi mlikutana huyo kijana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishuhudia kama mfatiliaji wa mambo ya kale huyu bwanamdogo anatafutwa sana na watu hasa wa dar ila hawajui anapatikana wapi, milima ya uluguru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekunya Mzee baba hujui chochote kubwa boya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilifanya ziaira Cambridge university. uk. pale alipofanyia newton uvumbuzii wa nguvu ya uvutano. cha ajabu mlangoni wa kuingia ndani ya jingo kuna nakshi mbalimbili za wakati huo. mojawapo ni ya dragon. Nilipomdadisi mwongoza wageni alionekana kutofurahia swali langu. hizi ni mapokeo ya imani za zamani maeneo ya ulaya na asia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…