Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe fulani.
Umegundua nini?
Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana mabawa na miguu na anatema moto.
Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni takribani miaka 6120. Lakini Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi kabla ya wanadamu na alitoweka kabla ya wanadamu kuletwa duniani. Sasa ndio ujiuluze binadamu kamjuaje Dragon na hajamkuta.
Nyoka aliyemdanganya Hawa pale bustani ya Edeni alikuwa na miguu miwili hadi minne lakini akalaaniwa atatambaa kwa tumbo.
Hebu mvalishe mabawa huyo nyoka halafu ateme moto. Je ndio amekuwa Dragon. Jibu ni Hapana.
Ukristo ulipoingia uliwakataza watu kuamini uwepo huo kwani unamwakilisha shetani.
Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.
View attachment:
Sent using
Jamii Forums mobile app