Ukweli Kuhusu Dragons

Ni kweli kabisa... hakuna kitu ALIENS wala DRAGONS wala MAGIMBA YA KUJA KUIBONDA DUNIA

Umesoma sahihi wala huna haja ya kushangaa

Ngoja nirudie... nimeandika hivi;
hakuna kitu ALIENS wala DRAGONS wala MAGIMBA YA KUJA KUIBONDA DUNIA

Umesikia au niongeze sauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo itabidi usome agano la kale lote ufanye calculation kama nilizofanya mimi. Halafu unganisha na miaka ya sasa. Maana Yesu alizaliwa 4.BC, miaka ikiwa imeanza kupanda juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo umebwabwaja mazima kabisa... wakati wenyewe wanatuambia kabla ya yesu kuzaliwa (BC- before Christ) miaka ilihesabiwa kihasihasi (kurudi nyuma) na mpaka alipozaliwa (AD- anno Domono) ikawa ndo wakaanza kuhesabu kichanya chanya wewe unakuja kutuambia Yesu kazaliwa mwaka wa nne 4 BC yaani mwaka wa nne kabla ya Yesu kuzaliwa! Kweli...!?

Tuondolee hadithi zako za kutunga hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule wa Tendeguru ni mjusi acha kutuaminisha uwongo! Tena harakati za kuleta kiunzi chake zimekaribia kufanikiwa na tayari umeme unafungwa kutoka Ruangwa kwenda kule Kilwa kwajili ya sehemu hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, plan z: kuhusu binadamu kumjua dragon japo hajamkuta, si Jambo la kushangaza, maandiko yanasema wazi kabisa kuwa ukimcha mungu sana atakuonyesha hazina zilizoko gizani. Biblia zingine zinasema zilizoko sirini. Kwahiyo siyo ajabu kumfahamu huyo dragon. Maana mungu mwenyewe anatuonyesha yaliyo sirini/gizani.

Na ndiyo hapa kutoka kwenye andiko hili, huwa naamini kuwa Kuna Mercury ya Asili kwenye mapango ambayo Yana joka, na mapango hayaonekani kwa macho haya ya nyama.

Pia Kuna joka mwenye vichwa 12, haya yote yako gizani/sirini maana Muumba mwenyewe kasha sema kupitia mandiko mtakatifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule wa Tendeguru ni mjusi acha kutuaminisha uwongo! Tena harakati za kuleta kiunzi chake zimekaribia kufanikiwa na tayari umeme unafungwa kutoka Ruangwa kwenda kule Kilwa kwajili ya sehemu hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, na aliyeanzisha uzi alimaanisha mjusi ila akatumia neno la dragon. Who is wrong then, me or you?
 
Mbona unaandika kama mtu mwenye Mamlaka fulani hivi dhidi ya watu wengine?.
Dah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
l
k
kuhusu mercury apo iyo kitu achana nayo kaa mbali
 
l
k
kuhusu mercury apo iyo kitu achana nayo kaa mbali
Mkuu inaonekana, unauzoefu nayo sana. Japo nilikutana na Mzee mmoja alinambia anajua inapopatikana, na Kuna mtu akasema anamtu anaejua kuchukua hata iweje. Na anaehitaji nilikuwa namjua, yaani soko lipo(uhakika)

Nilidevelop interest sana niwe bilionea Mkuu. Sijajoin hizi dot nione uwezekano wa kuwa bilionea.

Nipe uzoefu wako Mkuu. Story Ni nyingi mtaani.

Actu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kazi
kama sio mshirikina kama yenyewe ilivyo usisogee eneo la tukio
kuna wataalam wa wanajua kuitoa wengi ni waganga wa kieneji lakin nao mzik hawauwez na hao njoka wanao tema iyo wapo sio story
 
kazi

kama sio mshirikina kama yenyewe ilivyo usisogee eneo la tukio
kuna wataalam wa wanajua kuitoa wengi ni waganga wa kieneji lakin nao mzik hawauwez na hao njoka wanao tema iyo wapo sio story
Duuuuh inakatisha tamaa sana. Kuna jamaa akielezea namna yakuibeba, nilichoka sana,

Mmoja alinambia masharti yakwenda huko tu, akasema sharti ninaloliweza Mimi Ni kutoyembea na mwanamke kwa mwezi mmoja, ikiwa Ni maandalizi ya kuwa msafi, Mengine akasema sikutajii maana nauhakika huwezi.

Nilibaki kumshangaa tu, what a hell?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
achana na hayo mambo iyo mercury ni product ya dimension nyingine sio hii ya 3D hao nyoka ni majin wenye nguvu sana
lakin mjeruman ndo mbabe wao
akijua iko mahali chap tu anatoa sijui wandawa gan
 
achana na hayo mambo iyo mercury ni product ya dimension nyingine sio hii ya 3D hao nyoka ni majin wenye nguvu sana
lakin mjeruman ndo mbabe wao
akijua iko mahali chap tu anatoa sijui wandawa gan
Maisha haya Kuna watu wanahangaika mpaka basi, Huyo jamaa alinisimulia Mambo mengi sana mpaka siku Moja walivyoona wazungu wanaenda huko, ikabidi wabebe mapanga kwamba wakitoa tu Mercury, ama zao ama wazungu, wale wazungu walicool tu, jamaa walisubiria usiku mzima patupu.

Akaniambia wale wazungu wakisha toa Mercury huwa wanaziba Yale mashimo isiendele kudondoka pale, Chini wakija Tena baada ya muda Fulani, wanazibua tu Yale matundu, inachuruzika wanakinga tu.

Mpaka tulipanga twende baada ya Mzee mmoja kuniambia kuwa anajua sehemu tatu inapopatikana, yeye ameshachukua Ila iliganda. Akashindwa, Ni Mzee Sana wa miaka 70+ Ila ana nguvu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaribun baati yenu
 
Huna siri nzito unayoifahamu kuhusu dragons unless ww ni binadamu uliyekuwepo kipindi hicho, ila kama umesoma vitabu, makala na kuangalia youtube basi hiyo si siri, achilia mbali uzito.
 
nkimtoa mabawa atakufa
ko ctagundua kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…