Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Ni kweli kabisa... hakuna kitu ALIENS wala DRAGONS wala MAGIMBA YA KUJA KUIBONDA DUNIAStories za Dragons hazina tofauti na Stories za Mermaid (Samaki Mtu),
Ni vitu vya kufikirika zaidi ambavyo binadamu wamevitengeneza kwenye minds zetu. Yaani mimi ninavyowaza kuhusu hawa viumbe wa Dragons na Mermaids ni kama vile Kiranga anavyowaza kuhusu uwepo wa Sir God.
Umesoma sahihi wala huna haja ya kushangaa
Ngoja nirudie... nimeandika hivi;
hakuna kitu ALIENS wala DRAGONS wala MAGIMBA YA KUJA KUIBONDA DUNIA
Umesikia au niongeze sauti?
Sent using Jamii Forums mobile app