Sasa kama mtu kazaliwa kwenye familia yenye uwezo atakuwa likely kufanikiwa kwenye nini? nakati mtu huyo tayari kazaliwa kwenye mfumo wa mafanikioYuko correct sana. Mtu aliyezaliwa kwenye familia yenye uwezo yuko most likely kufanikiwa. Ndiyo maana wao watu wengi kwenye nchi za Afrika, wana uwezo mkubwa wa akili, lakini hawakuwa na uwezo wa fedha wa kujiendeleza kimasomo au kibiashara.
Yuko sawa Ila iyo bahati ni kitu gani?Yuko correct sana. Mtu aliyezaliwa kwenye familia yenye uwezo yuko most likely kufanikiwa. Ndiyo maana wao watu wengi kwenye nchi za Afrika, wana uwezo mkubwa wa akili, lakini hawakuwa na uwezo wa fedha wa kujiendeleza kimasomo au kibiashara.
Viweke hapa tuoneHii mada inabidi iende jukwaa la intelligence maana ni pana sana anyway ili kukuza awareness kwenye maswala ya spiritual soma vitabu hivi
~The secret cha Rhonda byren,
~ Seven spiritual law of success cha deepak chopra
~Creative visualization by Shakti Gawain
Unaweza kuanzia na hivyo
Ngoja niviangalie kwenye documents zangu maana nilivisoma mda kidogo
Ok poa.Ngoja niviangalie kwenye documents zangu maana nilivisoma mda kidogo
Kwa maneno yako haya mr, Kizibo nimekuelewa vizuri mnoUkiisoma LAW OF CAUSE AND EFFECT ukaielewa vilivyo, halafu UKASOMA VITABU VYA LUCIFERIANISM ukavielewa, NAKUHAKIKISHIA utaacha kuishi maisha YA KU-WISH na Kuanza kuishi MAISHA YA KU-CAUSE AND INFLUENCE RESULTS (CHANGE)
Kumbe watu wenye uwanda mpana wa mawazo msha kuona hili big up sana mkuuMtoa mada upo sahihi kabisa. Wengi tunahangaika kutafuta mafanikio na vitu nje ilihali nguvu ya kuvivuta hivyo vitu tayari ipo ndani (spiritual power).
Halafu lile kundi linalotazama tu bila kuelewa vitu kama hivi wanakomaa kusema flani ana bahati.
It's not luck!!
Umenigusa sana mkuu. Nimekuwa mtu wa kuitabiri future yangu tokea nikiwa young na mambo kutokea kama ninavyotamka.
Spiritual power
Intelligence
Hardwork
Ukiwa vizuri spiritual power na intelligence, huwa hauhitaji Ile Hardwork ya kupitiliza. Unaweza fanya jambo dogo la kawaida likakuletea pesa siyo ya kawaida.
Kweli kabisa bahati ndio spiritualIyo
Iyo unayoita ww bahati ndo spritual yenyewe sasa we fight alaf your weak spritual uone vile utadunda komaaa
Kuna spirit ambazo zinaweza kwamisha mipango yako na bidii yako.You can work hard and still not succeed..you succeed only when you work hard on your strategies
Bahati ni "mazingira" --- familia yenye kipato, upendo home, shule bora, jamii yenye mwamko, walimu bora, vifaa shuleni, taifa lililotulia katika amani na usalama, uhakika wa ajira ama kujiajiri huko mbeleni, malezi mazuri, afya, na kadhilika.
Nimekuelewa sanaLight can't exist without darkness, but darkness exists without light. That's why, wherever you remove light darkness takes it's place. This meant that, light comes to balance darkness in nature not to remove it
Hii mada nimeisoma Mara nyingi lakini bado sijaielewa.Uliza huku maswaliJe, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?
SALUTE Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me? Mfano...www.jamiiforums.com
Kizibo unaonekana unamambo mazito sana ila unashindwa pa kuanzia kuyatelemsha hapa.Ukiisoma LAW OF CAUSE AND EFFECT ukaielewa vilivyo, halafu UKASOMA VITABU VYA LUCIFERIANISM ukavielewa, NAKUHAKIKISHIA utaacha kuishi maisha YA KU-WISH na Kuanza kuishi MAISHA YA KU-CAUSE AND INFLUENCE RESULTS (CHANGE)
Sasa nimegundua tatizo lako kama hujalewa bc acha mara moja matumizi mabaya ya kichwa sasa kama hiyo ndo maana ya bahati na sisi watoto wa makapuku tulofanikiwa tusemeje aseeee tumia kichwa au kaa tu kmya ucje onekana hayawanBahati ni "mazingira" --- familia yenye kipato, upendo home, shule bora, jamii yenye mwamko, walimu bora, vifaa shuleni, taifa lililotulia katika amani na usalama, uhakika wa ajira ama kujiajiri huko mbeleni, malezi mazuri, afya, na kadhilika.
Sisi tupo mkuu karibu tuchanganue mambo kwa kinanilivyo soma hayo mambo matatu nimekuja huku maana hakuna anae fikiria hivyo huwa natafuta watu wa namna hii
Kuna watu wengi sana wanazaliwa kwenye familia za kitajiri lakini maisha yao yanakuwa TOTAL FAILURE -- wengine wanaishia kwenye rehabilitation centres, wengine magerezani, nkSasa kama mtu kazaliwa kwenye familia yenye uwezo atakuwa likely kufanikiwa kwenye nini? nakati mtu huyo tayari kazaliwa kwenye mfumo wa mafanikio
Ni kweli ila bado sijaelewa hoja yako inasimamia wapiKuna watu wengi sana wanazaliwa kwenye familia za kitajiri lakini maisha yao yanakuwa TOTAL FAILURE -- wengine wanaishia kwenye rehabilitation centres, wengine magerezani, nk