Ukweli kuhusu gonjwa la UKIMWI

Ukweli kuhusu gonjwa la UKIMWI

KUWA MWAMINIFU KWA MKE WAKO AU MPENZI WAKO. Hii ndo dawa kamili ya huo ugonjwa unaomaliza uwezo wa mwili kuzuia magonjwa.
 
Wazungu hawatupendi waafrica kinoma wanapenda tupukutike wote waje kuchuma mali asili huku.
 
Alie kuambia Ukimwi unaambukiza kwa Njia ya ngono tu ninani? Ukimwi ni ugonjwa wa kibiashara kwa wazungu.

Asilimia 80 huambukizwa kwa njia hiyo na kama ni biashara kwa wazungu tuache kununua bidhaa hiyo si lazima kuwa wateja wa bidhaa fulani.
 
nilijua tu watu wa injili hawatokosekana, tuache uasherati ila watu mnahangaika kumtafuta shetani kwenye nyumba za ibada, angali yupo na ndo aliowafundisha hizo mbinu mtumiazo.mzungu ni janga.mungu aiadhibuye dunia kwa kitu kama ukimwi ni mungu MUFLISI
 
habarini wana JF.ni kwa muda sasa huwa huwa nafatilia ni nini hasa chanzo cha gonjwa hili la ukimwi ambalo halikuwepo miaka kama 1960 na,iliyo pita na kwa nini limekaa sehemu ya pili kwa utamu ukitoa asali na nini tiba yake ???. Watu wengi duniana hasa wachunguzi wa mabo husema haya
1.eti chanzo cha ugonjwa ni pale walipo fanya majaribio kumfanya binadamu alale na nyani ili hafahamu nini kitatokea,Je kama ni hivi walipo gundua huyo binadamu amepata kirusi/gonjwa ambalo halina tiba kwa nini wasinge muua ili asifanye maambukizi kwa wngne????
2.A; Eti serekali ya marekani ilikusanya madaktri bingwa duniani ambao kazi yao ilikuwa ni kutengeneza kirusi ambacho walikipandikiza kwa binadamu kwa lengo la kuwauwa adui za marekani,nami nikajiuliza kama hii ni kweli lazima kinga ipo, na lengo watakuwa wamisha fanikisha sasa kwa nini wasiuze kwa w2 hata kwa bei ya mabilioni ya shs kuliko wa2 kufa hovyo ???
B; eti kirusi kilitengenezwa kwa lengo la wakumaliza wafrika ( kupunguza population) ili wapate rasilimali zetu yaani wa2mie indirect way sio kama zile za enzi za ukoloni,hii nayo inanitia shaka kama ndivyo mbona na wenyewe takwimu zinasema wapo wanao kufa kwa ngoma kwa hyo wanafurahia w2 wao pia kufa au ?????
3. Eti ukimwi ni pigo toka juu ( yani kwa Mwenyezi Mungu) sasa hapa huwa naduwaa mpaka basi,najiuliza kweli huyu mungu anayesema anatupenda kwa nini anatufanyia hivi yani inafikia hatua kila mtu anahisi ana ukimwi??,wengine wakasema hili gonjwa kama yalivyo mengine unaweza ombewa na mchungaji na ukapona kabisa kama yalivyo magonjwa mengine 'hapa sasa ndipo kuna kasheshe' ukiuliza ni yupi aliombewa akapona hupati mtu???.sasa ukweli ni upi??????????

KINGA YA GONJWA
wanasema ili kujiepusha na kupata ukimwi inakubidi kutumia kinga ambayo ni '' kondomu'' ukweli wa watu kuhusu kondomu
1.wanasema kondomu ni elastic na ktk sayansi wanasema k2 chochote ambacho ni elastic huwa kina vijitundu vidogo vidogo sasa kama huu ni ukweli ni dhahiri kuwa kondomu haizuu vijidudu vya ukimwi kupenyeza au ???
2.kuna kipindi kontena moja la kondomu pale bandarini liligundulika kuwa limebeba kondomu ambazo tayari zimepandikizwa virusi,nilipo sikia hili ilinibidi nikubaliane na hoja kuwa ukimwi ni kwa ajiri ya kuwauwa wafrika??? Sasa ni nini ukweli juu ya gonjwa hili??????

Fdsf.fffc
M

M



Xx
 
Mnaona sasa mzungu analazimisha ndoa za jinsia moja!kule south africa waliwadunga sindano ya maambukizi watu weusi
 
UKIMWI ni one of the Black Projects za awa mashetani CIA... Siku malengo yao yatakapotimia na kujisikia kuutokomeza huu ugonjwa, watatupatia dawa...
 
Tatizo kubwa lililopo mpaka sasa ni moja, nalo ni; ikishapatikana dawa ya UKIMWI hamtafanya kufuru?.
 
mimi ntaigundua hiyo dawa npo mwaka wa tan0 hapa muhimbili na deal nayo perpendicula within a year itakuwa sokoni!!!
 
mimi ntaigundua hiyo dawa npo mwaka wa tan0 hapa muhimbili na deal nayo perpendicula within a year itakuwa sokoni!!!

Usidanganye watu kwakuwa upo mhimbili unasoma. UKIMWI ni ugonjwa uliopindishwa ukweli wake tangu siku ya kwanza. ili upone huhitaji dawa zaidi ya kushughurisha tu ubongo wako.
 
Back
Top Bottom