Ukweli kuhusu hali ya Mabenki Tanzania.

Ukweli kuhusu hali ya Mabenki Tanzania.

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Wana bodi,

Kumekuwa na taarifa mbalimbali kutoka vyanzo tofauti, nyingi zikipendekeza kuwa hali ya mabenki ni mbaya, ya kutia mashaka, na kuonesha dalili ya mabenki kufilisika. Nimeamua kuandika machache na kwa ufupi, kutokana na uchunguzi na tathmini ya kitaalamu. Sababu za kuandika ni mbili. Moja, kwa kuwa uchumi na hasa sekta ya fedha ni eneo langu la taaluma, na nitakuwa sitawatendei haki watanzania kama sitasema neno. Pili, mabenki na sekta ya fedha ni moyo wa uchumi. Midororo na misukosuko mingi katika historia ya chumi za dunia, mara nyingi huanzia katika sekta ya fedha. Naomba kusema kwa ufupi, kwa hoja tatu.

Hoja ya Kwanza: kumekuwa na tatizo ambalo ni la kawaida katika sekta ya fedha la kutolipa madeni wadaiwa. Benki nyingi, na hasa CRDB imekuwa na tatizo hilo. Kwa utaratibu wa kawaida, mabenki hukisia uwezekano wa kutolipwa na kuweka pembeni uwekezano huo (provision), na wakati mwingine kufanya juhudi za kuweka mikakati ya kuyakusanya (restructuring) kihasibu na kisera. Inaposhindikana, mabenki hutambua kuwa haitalipwa na kuweka kama gharama (expensing loans write offs). Hii hupunguza faida. Kwa CRDB imekuwa na athari kubwa, na pengine hutokea mabenki yakafanya hivi kwa pamoja au kwa namna ya msimu, na hivyo hili limetokea katika robo ya tatu ya mwaka 2016. Takwimu zinaonesha kuwa katika trilioni 16.7 zilizokopeshwa, kuna uwezekana wa trilioni 1.43 kutolipwa (non-performing loans) (asilimia 8.6). Kiwango hiki kwa Tanzania ni cha kawaida, tena cha chini kuliko nchi nyingi za kusini mwa Sahara ambazo viwango vyao hufika hadi asilimia zaidi ya 20.

Hoja ya Pili: Kulikuwa na kutoelewana kati ya mabenki na serikali kuhusu kodi ya mapato yatokanayo na mikopo ya benki. Mabenki mengine yalifungua kesi dhidi ya TRA. Lakini katika mwaka 2016 mfano, CRDB walishindwa kesi na hivyo wakatakiwa kulipa kodi hiyo, ambayo ilijumuisha pia kodi ya vipindi vya nyuma (retrospective). Benki nyingi ziliona matumaini ni machache, itawalazimu kulipa kodi hiyo ya serikali. Kwa hiyo muhula wa tatu wa mwaka 2016, mabenki mengi yakatambua kodi hiyo kama gharama. Na ndio maana faida katika mabenki mengi na sekta ilishuka kwa kasi sana, ukizingatia hoja ya kwanza na hoja hii ya pili.

Hoja ya Tatu: Wengi wamehusianisha hasara hii na tatizo la mtaji katika benki ya Twiga. Ukweli ni kuwa, uhusiano ni mdogo sana. Kilichotokea benki ya Twiga, ni kuwa wamekuwa na tatizo la mtaji kwa muda mrefu, wa karibu miaka kumi. Wakaomba serikali aliye mmiliki aongeze mtaji, hilo halikufanyika. Kwa sababu serikali ni mmiliki, benki ikaendelea kuendeshwa bila mtaji wa kutosha. Pamoja na tatizo la mikopo kwa kiasi fulani, hali ikawa mbaya hadi hapo Benki Kuu walipoamua kuchukua dhamana ya benki. Jambo jema linalokuja, ni kuwa wawekezaji binafsi wamekaribishwa kuingiza mtaji, na hadi ninapoandika, Mohammed Dewji na Exim Bank ya China wana nafasi kubwa ya kushinda tenda hiyo.

Nimesikitishwa na upotoshaji unaofanywa, tena na wataalamu. Wakizungumzia kuwa kuna ukasi wa mtitiriko wa fedha (liquidity) katika sekta ya fedha kutokana na serikali kutoa fedha zake na kuziweka benki kuu. Ukweli ni kuwa serikali ilitoa shilingi bilioni 515, wakati liquidity ya mabenki yote kwa takwimu za Disemba 2015, ni bilioni 9,004. Kiasi kilichotolewa ni asilimia 5.7 pekee ya ujazo wa fedha. Na fedha hizi mabenki yanaweza kuzikopa kutoka benki kuu. Kwa tathmini yangu, viashiria vyote ya msingi (fundamentals) vya sekta ya fedha kama mtaji, ujazo wa fedha, ubora wa dhamana, faida na ubora wa uongozi wa mabenki (CAMEL) vipo katika viwango vinavyokubalika (prudential limits). Na mwisho, tathmini yangu inaonesha kuwa mwisho wa mwaka 2016, robo ya nne, mabenki mengi na kwa ujumla wake, yatarekodi faida.

Genuine Martin (Economics PhD Candidate, Northern Illinois University, USA)
 
Ningekua mtu mkubwa serikalini..watu kama nyie mnatufaa sana katika nchi hii tena Ktk nyadhifa kubwa..very intelligent..be blecd
 
Please Would you come in English vassion?
 
kuna ukwel ambao watu wengi hatupendi kuusikia kwa sababu kuna mtu mwengine anazungumza uongo unaokufurahisha...

Good explanation hata kama mtu hafahamu uchumi kuna kitu anapata kutokana na maelezo yako.
 
very educating- Wajamaa hii imeandikwa kwa kiswahili sanifu na matarajio yangu ni kwamba mada hii itachangiwa vizuri.
 
Good food for thought; je nini mtazamo wako kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania kwa ujumla maana hali ya feza mtaani ni mbaya sana, biashara haziendi, watu wengi wamefunga biashara na wengi wamefilisiwa! Viongozi waandamizi wa serikali hatuamini kauli zao, wanaelekea kujawa na woga hawasemi ukweli na mifano ni swala la dawa hospitalini na hili jipya la kiwanda cha Dangote; mawaziri wanadanganya waziwazi kuficha ukweli! Na wakati mwingine wanatoa kauli zinazokinzana na kauli za Rais, hali ikoje kwa mtazamo wako objectively?!
 
Wana bodi,

Kumekuwa na taarifa mbalimbali kutoka vyanzo tofauti, nyingi zikipendekeza kuwa hali ya mabenki ni mbaya, ya kutia mashaka, na kuonesha dalili ya mabenki kufilisika. Nimeamua kuandika machache na kwa ufupi, kutokana na uchunguzi na tathmini ya kitaalamu. Sababu za kuandika ni mbili. Moja, kwa kuwa uchumi na hasa sekta ya fedha ni eneo langu la taaluma, na nitakuwa sitawatendei haki watanzania kama sitasema neno. Pili, mabenki na sekta ya fedha ni moyo wa uchumi. Midororo na misukosuko mingi katika historia ya chumi za dunia, mara nyingi huanzia katika sekta ya fedha. Naomba kusema kwa ufupi, kwa hoja tatu.

Hoja ya Kwanza: kumekuwa na tatizo ambalo ni la kawaida katika sekta ya fedha la kutolipa madeni wadaiwa. Benki nyingi, na hasa CRDB imekuwa na tatizo hilo. Kwa utaratibu wa kawaida, mabenki hukisia uwezekano wa kutolipwa na kuweka pembeni uwekezano huo (provision), na wakati mwingine kufanya juhudi za kuweka mikakati ya kuyakusanya (restructuring) kihasibu na kisera. Inaposhindikana, mabenki hutambua kuwa haitalipwa na kuweka kama gharama (expensing loans write offs). Hii hupunguza faida. Kwa CRDB imekuwa na athari kubwa, na pengine hutokea mabenki yakafanya hivi kwa pamoja au kwa namna ya msimu, na hivyo hili limetokea katika robo ya tatu ya mwaka 2016. Takwimu zinaonesha kuwa katika trilioni 16.7 zilizokopeshwa, kuna uwezekana wa trilioni 1.43 kutolipwa (non-performing loans) (asilimia 8.6). Kiwango hiki kwa Tanzania ni cha kawaida, tena cha chini kuliko nchi nyingi za kusini mwa Sahara ambazo viwango vyao hufika hadi asilimia zaidi ya 20.

Hoja ya Pili: Kulikuwa na kutoelewana kati ya mabenki na serikali kuhusu kodi ya mapato yatokanayo na mikopo ya benki. Mabenki mengine yalifungua kesi dhidi ya TRA. Lakini katika mwaka 2016 mfano, CRDB walishindwa kesi na hivyo wakatakiwa kulipa kodi hiyo, ambayo ilijumuisha pia kodi ya vipindi vya nyuma (retrospective). Benki nyingi ziliona matumaini ni machache, itawalazimu kulipa kodi hiyo ya serikali. Kwa hiyo muhula wa tatu wa mwaka 2016, mabenki mengi yakatambua kodi hiyo kama gharama. Na ndio maana faida katika mabenki mengi na sekta ilishuka kwa kasi sana, ukizingatia hoja ya kwanza na hoja hii ya pili.

Hoja ya Tatu: Wengi wamehusianisha hasara hii na tatizo la mtaji katika benki ya Twiga. Ukweli ni kuwa, uhusiano ni mdogo sana. Kilichotokea benki ya Twiga, ni kuwa wamekuwa na tatizo la mtaji kwa muda mrefu, wa karibu miaka kumi. Wakaomba serikali aliye mmiliki aongeze mtaji, hilo halikufanyika. Kwa sababu serikali ni mmiliki, benki ikaendelea kuendeshwa bila mtaji wa kutosha. Pamoja na tatizo la mikopo kwa kiasi fulani, hali ikawa mbaya hadi hapo Benki Kuu walipoamua kuchukua dhamana ya benki. Jambo jema linalokuja, ni kuwa wawekezaji binafsi wamekaribishwa kuingiza mtaji, na hadi ninapoandika, Mohammed Dewji na Exim Bank ya China wana nafasi kubwa ya kushinda tenda hiyo.

Nimesikitishwa na upotoshaji unaofanywa, tena na wataalamu. Wakizungumzia kuwa kuna ukasi wa mtitiriko wa fedha (liquidity) katika sekta ya fedha kutokana na serikali kutoa fedha zake na kuziweka benki kuu. Ukweli ni kuwa serikali ilitoa shilingi bilioni 515, wakati liquidity ya mabenki yote kwa takwimu za Disemba 2015, ni bilioni 9,004. Kiasi kilichotolewa ni asilimia 5.7 pekee ya ujazo wa fedha. Na fedha hizi mabenki yanaweza kuzikopa kutoka benki kuu. Kwa tathmini yangu, viashiria vyote ya msingi (fundamentals) vya sekta ya fedha kama mtaji, ujazo wa fedha, ubora wa dhamana, faida na ubora wa uongozi wa mabenki (CAMEL) vipo katika viwango vinavyokubalika (prudential limits). Na mwisho, tathmini yangu inaonesha kuwa mwisho wa mwaka 2016, robo ya nne, mabenki mengi na kwa ujumla wake, yatarekodi faida.

Genuine Martin (Economics PhD Candidate, Northern Illinois University, USA)
Asante sana Ms Martin, ukitoa nyundo kama hizi za uhakika wale wote wanaojiita ma-great thinkers ooops Tinkers hawawezi kuingia kwa sababu moja kubwa wamekalia upotoshaji, majungu nk. JF ilipoanza enzi zile ilikuwa hoja kwa hoja na wala sio viloja. Siku hizi imetawaliwa na wanaopenda kusema uongo na porojo.

Swala la pesa za mashirika ya umma na taasisi mbali mbali za serikali kuweka pesa zao BOT lilitolewa ufafanuzi na rais lakini wenzetu wamefumba macho kwa sababu wamekalia biashara za magendo ndio zinawaweka mjini lakini wanasahau Tanzania ni ya wote hasa wale walio wengi kule vijijini maisha yao hayajabadilika kwa sababu ya wezi wa kisasa walio mjini. Ukiwapa facts namna hii hutawaona wanakuja kuweka ukweli ni kelele za vyura tu. Ni matumaini yangu JPM atalitoa taifa hili kwenye dimbwi la umasikini unaotisha katika karne hii.
 
Wana bodi,

Kumekuwa na taarifa mbalimbali kutoka vyanzo tofauti, nyingi zikipendekeza kuwa hali ya mabenki ni mbaya, ya kutia mashaka, na kuonesha dalili ya mabenki kufilisika. Nimeamua kuandika machache na kwa ufupi, kutokana na uchunguzi na tathmini ya kitaalamu. Sababu za kuandika ni mbili. Moja, kwa kuwa uchumi na hasa sekta ya fedha ni eneo langu la taaluma, na nitakuwa sitawatendei haki watanzania kama sitasema neno. Pili, mabenki na sekta ya fedha ni moyo wa uchumi. Midororo na misukosuko mingi katika historia ya chumi za dunia, mara nyingi huanzia katika sekta ya fedha. Naomba kusema kwa ufupi, kwa hoja tatu.

Hoja ya Kwanza: kumekuwa na tatizo ambalo ni la kawaida katika sekta ya fedha la kutolipa madeni wadaiwa. Benki nyingi, na hasa CRDB imekuwa na tatizo hilo. Kwa utaratibu wa kawaida, mabenki hukisia uwezekano wa kutolipwa na kuweka pembeni uwekezano huo (provision), na wakati mwingine kufanya juhudi za kuweka mikakati ya kuyakusanya (restructuring) kihasibu na kisera. Inaposhindikana, mabenki hutambua kuwa haitalipwa na kuweka kama gharama (expensing loans write offs). Hii hupunguza faida. Kwa CRDB imekuwa na athari kubwa, na pengine hutokea mabenki yakafanya hivi kwa pamoja au kwa namna ya msimu, na hivyo hili limetokea katika robo ya tatu ya mwaka 2016. Takwimu zinaonesha kuwa katika trilioni 16.7 zilizokopeshwa, kuna uwezekana wa trilioni 1.43 kutolipwa (non-performing loans) (asilimia 8.6). Kiwango hiki kwa Tanzania ni cha kawaida, tena cha chini kuliko nchi nyingi za kusini mwa Sahara ambazo viwango vyao hufika hadi asilimia zaidi ya 20.

Hoja ya Pili: Kulikuwa na kutoelewana kati ya mabenki na serikali kuhusu kodi ya mapato yatokanayo na mikopo ya benki. Mabenki mengine yalifungua kesi dhidi ya TRA. Lakini katika mwaka 2016 mfano, CRDB walishindwa kesi na hivyo wakatakiwa kulipa kodi hiyo, ambayo ilijumuisha pia kodi ya vipindi vya nyuma (retrospective). Benki nyingi ziliona matumaini ni machache, itawalazimu kulipa kodi hiyo ya serikali. Kwa hiyo muhula wa tatu wa mwaka 2016, mabenki mengi yakatambua kodi hiyo kama gharama. Na ndio maana faida katika mabenki mengi na sekta ilishuka kwa kasi sana, ukizingatia hoja ya kwanza na hoja hii ya pili.

Hoja ya Tatu: Wengi wamehusianisha hasara hii na tatizo la mtaji katika benki ya Twiga. Ukweli ni kuwa, uhusiano ni mdogo sana. Kilichotokea benki ya Twiga, ni kuwa wamekuwa na tatizo la mtaji kwa muda mrefu, wa karibu miaka kumi. Wakaomba serikali aliye mmiliki aongeze mtaji, hilo halikufanyika. Kwa sababu serikali ni mmiliki, benki ikaendelea kuendeshwa bila mtaji wa kutosha. Pamoja na tatizo la mikopo kwa kiasi fulani, hali ikawa mbaya hadi hapo Benki Kuu walipoamua kuchukua dhamana ya benki. Jambo jema linalokuja, ni kuwa wawekezaji binafsi wamekaribishwa kuingiza mtaji, na hadi ninapoandika, Mohammed Dewji na Exim Bank ya China wana nafasi kubwa ya kushinda tenda hiyo.

Nimesikitishwa na upotoshaji unaofanywa, tena na wataalamu. Wakizungumzia kuwa kuna ukasi wa mtitiriko wa fedha (liquidity) katika sekta ya fedha kutokana na serikali kutoa fedha zake na kuziweka benki kuu. Ukweli ni kuwa serikali ilitoa shilingi bilioni 515, wakati liquidity ya mabenki yote kwa takwimu za Disemba 2015, ni bilioni 9,004. Kiasi kilichotolewa ni asilimia 5.7 pekee ya ujazo wa fedha. Na fedha hizi mabenki yanaweza kuzikopa kutoka benki kuu. Kwa tathmini yangu, viashiria vyote ya msingi (fundamentals) vya sekta ya fedha kama mtaji, ujazo wa fedha, ubora wa dhamana, faida na ubora wa uongozi wa mabenki (CAMEL) vipo katika viwango vinavyokubalika (prudential limits). Na mwisho, tathmini yangu inaonesha kuwa mwisho wa mwaka 2016, robo ya nne, mabenki mengi na kwa ujumla wake, yatarekodi faida.

Genuine Martin (Economics PhD Candidate, Northern Illinois University, USA)
thanks a lot for your speech coz that is reality!!!
 
Form 4 ulimaliza kweli wewe?unaandika Kama uliwahi kuumwa ugonjwa Wa kiseyeye... Hela Hakuna. Zipo Bank kuu
 
Back
Top Bottom