Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hatumjui ndio nani huyo?
Naibu waziri maliasili na utalii!Wengine hatumjui ndio nani huyo?
hapo hapo kwenye 'pigs'Wenzako wanafungua account mpya wa nakuja na mizigo ya maana sasa wewe unakuja na upuuzi huu mod pigs ban uyu
Haahaaahapo hapo kwenye 'pigs'
Mama mwenye nyumba kapost picha za watoto wake wawili wa kike, nikaweka like, nikaandika kwa chini pale 'nice pic's'
Kumbe smartphone imetuma 'nice pig's'
nakwambia hilo zogo la hapo halikuwa la nchi hii