M mhhhhh JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 240 Reaction score 126 Sep 12, 2016 #1 Wakuu nisaidieni. Ni kweli mabenki kama crdb, nmb na nyingine zimesitisha kutoa mikopo ya biashara?!
J Jangama Member Joined Aug 6, 2016 Posts 18 Reaction score 4 Sep 12, 2016 #2 Mambo ya bank nakushaur fika bank physically usipende kufanyia kaz maneno ya watu,ila nnachofahamu CRDB wanaendelea kutoa top up na si kwa mteja mpya,ila NMB wao wanatoa last week tu kuna mtu nampata kavuta mkwanja anafanya mambo
Mambo ya bank nakushaur fika bank physically usipende kufanyia kaz maneno ya watu,ila nnachofahamu CRDB wanaendelea kutoa top up na si kwa mteja mpya,ila NMB wao wanatoa last week tu kuna mtu nampata kavuta mkwanja anafanya mambo
M mhhhhh JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 240 Reaction score 126 Sep 12, 2016 Thread starter #3 Asante mkuu kwa mchango wako