Ukweli kuhusu hili

Ukweli kuhusu hili

mhhhhh

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
240
Reaction score
126
Wakuu nisaidieni. Ni kweli mabenki kama crdb, nmb na nyingine zimesitisha kutoa mikopo ya biashara?!
 
Mambo ya bank nakushaur fika bank physically usipende kufanyia kaz maneno ya watu,ila nnachofahamu CRDB wanaendelea kutoa top up na si kwa mteja mpya,ila NMB wao wanatoa last week tu kuna mtu nampata kavuta mkwanja anafanya mambo
 
Back
Top Bottom