Ukweli kuhusu HR Firm ya Job Junction na ukusanyaji wake wa CV za watu

Ukweli kuhusu HR Firm ya Job Junction na ukusanyaji wake wa CV za watu

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Wadau Kuna HR firm inajiita Job junction, ofisi zao zipo Makumbusho.

Wanakusanya CV za vijana then wanawambia walipe pesa kwa ajili ya registration kwa makubaliano kwamba watasambaza CV zenu kwa ajili ya kuwatafutia kazi.

Kwa wanowafahamu hawa jamaa tutiririke inaweza saidia vijana wengine.
 
Utaibiwa. Anayetakiwa kuwalipa hao ni muajiri sio wewe muajiriwa/ msaka tonge.

Duniani kote recruitment agencies hulipwa na employer sio employee!

Ulisikiliza hotuba ya Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi???
 
Shukrani mkuu..
 
Back
Top Bottom