Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi πŸ’”

Bila kumjulisha? sidhani kama hakujua, ila naamini alipingana na huo mpango wa kuweka majina ya watoto badala ya majina yao.
 

Mbinafsi ni mwanamme hapo. Unamuuaje mama wa watoto kisa nyumba? Jamaa hata arudi uraiani leo watoto wake hawawezi kabisa kua karibu nae tena
 
Duuuh! Kwani hizo mali zina utata hadi aogope ndugu wa mume? If mumewe akifariki??
Aunt mmoja aliwahi dhulumiwa na hao ndugu wa mume na wakwe aliuvaa umaskini hakuamini mpk aje asimame hakuna laana hakuacha na mume kamwachia watoto watatu ni miaka ya nyuma sio sasa....

zipo familia zina tabia za kishenzi mno aseeh watu wanashangaza unadhulumiwaje ...... Kuna watu hawana utu hata kidogo kisa ni ndg au mtoto
 
Unfortunately… these days tuna two versions of truth

Twisted
 
Talaka ni alternative bora sana kuliko kesi ya mauaji!

Duniani kuna mabilioni ya wanawake….kama sijakosea ni takriban bilioni 4 au 5.

Ya nini uyatupe maisha yako kisa mwanamke mmoja tu?

Jamaa alikuwa dhaifu sana aisee.
 
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Jane namfananisha na binti mmoja nilimtongoza 2010 ....akanikubali ila akawa ananipiga danadana hataki nimle na wakati huo alishakula pesa yangu ndefu sana ... na bado akawa anaendelea kunichuna baadae kidogo akaniambia hajisikii kuwa na mimi nikamwambia anirudishie pesa yangu akagoma...nikaenda kwa wazazi wake ndio wakanipa kwasababu niliwatisha
 
Halafu hatujapata ripoti ya polisi.

Huenda pia labda marehemu alijilipua mwenyewe ndio maana mumewe akawahi kujisalimisha polisi kutoa taarifa, na kwa usalama wake wakaamua kumtia kizuizini
 
Kuna mahali nimesikia wakisema kuweka hati majina ya watoto kuna risks zake pia, watoto wakiwa watu wazima hiyo ni mali yao kisheria, wakiamua kuuza hata kama wazazi wapo hai wanaweza kisheria.(unajua tena watoto wa kizazi hiki)
Hili nalo neno, watoto wanaweza kujiamulia watakavyotaka wao na wazazi mliotafuta msiwe na usemi.
Kila kitu kinatakiwa kuwa well calculated kwenye haya maisha.
πŸ’― πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…