Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Huyo anakuwazia kufaWanawake wapo very tricky, mimi hata sina huruma nao mkuu. Mtu anaamini utatangulia kufa ili yeye na watoto warithi mali, huyo mtu unadhani anakuwazia nini kila unapoingia na kutoka!
Hatariii πππWanaroho mbaya sana hawa.. ni wa mkaa na risasa tu.
πππ watanyamazishwa very soon.Wanazidi kujichamganya mbaya zaidi ni pale watasikia ni pindua chapati watapita km wanamuaga Jane
Data zote zinaonyesha mnawahi kufa kuliko sisi, ndiyo uhalisiaHuyo anakuwazia kufa
Daah mbona sijakuona mda sana, au ulikua kwa I'd ingine?Duh!
Mwenye heka heka zake mjini..
Nipo sana tu best.
Wanawake/wajane wengi wamedhulumika na ndugu wa mume hasa km mume ameacha wtt wadogo under 18. Binafsi nipo kwenye taasisi ambayo moja ya kazi zetu ni kushughulikia issue za mirathi, yanayofanyika huko yanaumiza sana. Watu hawana hata soni, wanadhulumu wtt wadogo yatima kisa tu wamepewa usimamizi.Aunt mmoja aliwahi dhulumiwa na hao ndugu wa mume na wakwe aliuvaa umaskini hakuamini mpk aje asimame hakuna laana hakuacha na mume kamwachia watoto watatu ni miaka ya nyuma sio sasa....
zipo familia zina tabia za kishenzi mno aseeh watu wanashangaza unadhulumiwaje ...... Kuna watu hawana utu hata kidogo kisa ni ndg au mtoto
SijawahiNaomba nikuulize swali dogo? Ktika mahusiano Yako uliwahi ingia gharama yeyote pindi unapokutana na mpenzi wako ?
Endapo ningemfukuzia mwanaume na kumuomba kumtoa out, yes ningegharamikia, ila hiyo scenarion haijawahi kunikuta.Pesa zinazotumika ni zako au za mwanaume ukinijibu .Kuna kitu nataka nikwambie alafu twende sawa
Haya mambo yapo sana, nina kisa kama hicho cha ndugu yangu naye yalimkuta.Aunt mmoja aliwahi dhulumiwa na hao ndugu wa mume na wakwe aliuvaa umaskini hakuamini mpk aje asimame hakuna laana hakuacha na mume kamwachia watoto watatu ni miaka ya nyuma sio sasa....
zipo familia zina tabia za kishenzi mno aseeh watu wanashangaza unadhulumiwaje ...... Kuna watu hawana utu hata kidogo kisa ni ndg au mtoto
Hivi Kweka mi nikimjua kwa jina la Humphrey, mbona nimeona Laurent, au yote ya kwake?Nawazoom tu
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
- JANE ALIKOSEA NINI?
- NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Hivi Kweka mi nikimjua kwa jina la Humphrey, mbona nimeona Laurent, au yote ya kwake?
Hiyo nyumba hatokuja kuiona milele, na sijui kama watoto wake watamsamehe pia.Kuua sio jawabu. Jamaa mshamba sana. Na alichofanya kitaharibu mengi ambayo alidhani anayambania
Na kwa mlolongo wa stori ulivyo, usingae kusikia Kweka aliua bila kukusudia, na akaja kuachiwa ili alee watoto wakeJane pumzika kwa amani
Huyo kweka simjui lakini namuombea apate mwanasheria mzuri atakayeweza kumtoa arudi kulea watoto.
Kuishi na mtu jamani ni kazi kubwa sana! kuna muda tunajifanya wajinga yaani unafanya 2+2=22 ili mradi mambo yaende tu!!!!!!!
Na sisi tulio baki tuhakikishe tunaishi maisha ya upendo, amani , furaha na masikilizano na ikitokea tumeshindwa kuendelea kuishi pamoja.
Tujifunze kuachana kwa amani.
Kina mushi hatuna Baya sinyoritaπHivi Kweka mi nikimjua kwa jina la Humphrey, mbona nimeona Laurent, au yote ya kwake?
Ila Kweka.! Nashauri kabla ya kuhusiana na mtu angalia jinsi anavyowatendea watu wengine.
Kuna watu hawatoi heshima kwa wazazi wao, ndugu na jamii inayowazunguka.
Wamejawa viburi na majivuno.
Sasa mtu kama huyu asiyejali kuhusu wazazi wake, vipi awaze kuhusu wewe.
Tukifatilia uhusiano wa Kweka na wazazi wake, kazini, majirani utakuta tu alikua mtu wa matatizo.
Ukatili wa hali ya juu kumuua mama watoto wako.
Daah mbona sijakuona mda sana, au ulikua kwa I'd ingine?
πππ
Na kwa mlolongo wa stori ulivyo, usingae kusikia Kweka aliua bila kukusudia, na akaja kuachiwa ili alee watoto wake
Mmmh kwanini atoke jela my dada na ameua?Jane pumzika kwa amani
Huyo kweka simjui lakini namuombea apate mwanasheria mzuri atakayeweza kumtoa arudi kulea watoto.
Ni kweli, huku kwenye ndoa kunahitaji kujishusha sana, na kamdomo inabidi kupunguza.Kuishi na mtu jamani ni kazi kubwa sana! kuna muda tunajifanya wajinga yaani unafanya 2+2=22 ili mradi mambo yaende tu!!!!!!!
π― π― πNa sisi tulio baki tuhakikishe tunaishi maisha ya upendo, amani , furaha na masikilizano na ikitokea tumeshindwa kuendelea kuishi pamoja.}
Tujifunze kuachana kwa amani.