Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Kasheshe, nilivyoona jina la Laurent mwanzo sikujua km ni yeye mpk nilivopigiwa simu kuambiwa masaibu yaliyomkuta Humphrey Kweka πͺItakuwa ndio wale matapeli wa Moshi. Mbwembwe nyingi wakijinadi wana hela...
Wachaa wee, Wige mwenyewee. Nomefurahi kukuona tena hapa.Pigo hizo Sina
Unakuwa msomaji tu
Mamnyadee..
Mi namuombea japo kaua lakini watoto kukosa wazazi mimi huwa inaniumiza sanaNa kwa mlolongo wa stori ulivyo, usingae kusikia Kweka aliua bila kukusudia, na akaja kuachiwa ili alee watoto wake
Talaka ni alternative bora sana kuliko kesi ya mauaji!
Duniani kuna mabilioni ya wanawakeβ¦.kama sijakosea ni takriban bilioni 4 au 5.
Ya nini uyatupe maisha yako kisa mwanamke mmoja tu?
Jamaa alikuwa dhaifu sana aisee.
Kweli kabisa.... Watu wana mali ghafla mnauvaa umaskini ni hatare sana.... Kwa scenario Jane ana watoto wanne bado wapo kwenye mahitaji ya msingi na mategemezi ya wazazi nani atakaa na watoto wa mtu kwa dunia hii inayotaka nipe nikupe ni ngumu sanaWanawake/wajane wengi wamedhulumika na ndugu wa mume hasa km mume ameacha wtt wadogo under 18. Binafsi nipo kwenye taasisi ambayo moja ya kazi zetu ni kushughulikia issue za mirathi, yanayofanyika huko yanaumiza sana. Watu hawana hata soni, wanadhulumu wtt wadogo yatima kisa tu wamepewa usimamizi.
Na ndio maana baadhi ya wanawake hutaka kuwahifadhia wtt wao kabisa ili wasije kuteseka
Duuh, kwahiyo hizo pesa mnazotoa wakati mnatongoza ni kama mkopo, inabidi zilipwe π³π€π€Jane namfananisha na binti mmoja nilimtongoza 2010 ....akanikubali ila akawa ananipiga danadana hataki nimle na wakati huo alishakula pesa yangu ndefu sana ... na bado akawa anaendelea kunichuna baadae kidogo akaniambia hajisikii kuwa na mimi nikamwambia anirudishie pesa yangu akagoma...nikaenda kwa wazazi wake ndio wakanipa kwasababu niliwatisha
Tunajitahidi, mimi najua kwenye ndoa sisi wanawake ndiyo wa kujishusha, uhalisia wa mahusiano unatutaka tufanye hivyo, ila na nyie akina baba mpunguze basi kutuvuruga.Inasikitisha salina. Ila kina mama nanyi mjiangalie basi, acheni dharau, ubishi, kujigamba, kuonyesha mwanaume hawezi kukufanyia lolote, muwe at least na heshima na unyenyekevuu! Zaidi ya hapo haya yataendelea kutokea mpaka mwisho!
Unaona ni strong, independent women na wanaume watakuwa intimidated, au unamanisha nini π?Nina.watoto wa kike 3, lakini naona jinsi walivyo sina hata amani na hili WALAHI!
Upande ule ulimkataa wazi wazi walimuambia wamrithi au achague kusepaHaya mambo yapo sana, nina kisa kama hicho cha ndugu yangu naye yalimkuta.
Ndugu wa mume wala hawakujali watoto wa marehemu, ni unyama sana.
π―π―π―πHILO NI CHAGUO LAKE.WE CANT WEEP NOTHING.LET THEM HARVEST WHAT THEY SEW!!!
WE LIVE WE DIE.....THATS THEIR DESTINY WE HAVE NO CONTROL OVER IT!!!!
Sikiliza wasifu wake, taarifa zote zipo humo.Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI
1. Alikuwa anafanya kazi wapi?
2. Alisomea masomo gani?
3. Mume wake alikuwa na elimu gani?
4. Kama alikuwa ameajiriwa akanunua kiwanja,kwanini alishindwa kujenga nyumba kwenye eneo hilo mwenyewe?
Hawa ni wahuni tuHakuna sababu yeyote ile inayohalalisha kumtoa mtu uhai. Huyo kweka ni mpumbavu sawa
Na hapo unakuta mwanamke ndio alisota na mume, wengine wanaanza from the scratch, shida, dhiki, ushauri, kuna wanawake wanavumilia mume wakati mwengine hata ku produce mahitaji ya muhimu ndani ya nyumba anasua sua, mke anasaidia ili mume ajenge mkae pazuri, wtt waje wastirike incase mzazi mmoja ameondoka lkn matokeo yake ndio hayo mara wtt wanakuja kupata tabu kwa kudhulumiwa tena na ndugu kwenye familia.Kweli kabisa.... Watu wana mali ghafla mnauvaa umaskini ni hatare sana.... Kwa scenario Jane ana watoto wanne bado wapo kwenye mahitaji ya msingi na mategemezi ya wazazi nani atakaa na watoto wa mtu kwa dunia hii inayotaka nipe nikupe ni ngumu sana
Bana heshimu mwanaume, mpe penzi lake, usijifanye mbabe, kwanza wewe mweshimiwa nalia kimoyo moyo! Kisa? Mpaka Leo sina wajukuu! Kisa? Mitoto yangu ya kike kuwa too ambitious na maisha yao!Tunajitahidi, mimi najua kwenye ndoa sisi wanawake ndiyo wa kujishusha,uhalisia wa mahusiano unatutaka tufanye hivyo, ila na nyie akina baba mpunguze basi kutuvuruga.
kwenye hili tukio tunasikia madhaifu ya mke tu ila hakuna mwanamke mwenye watoto wengi kama Jane ambaye yuko tayari kuondoka kwenye ndoa yake bila kuipambania na kuona amefika mwisho. Sasa sijui huyo ndugu Kweka alimfanya nini baada ya miaka yote hiyo mpaka mke akaanza taratibu za talaka.
Unaona ni strong, independent women na wanaume watakuwa intimidated, au unamanisha nini π