Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi πŸ’”

SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Solution wanawake ambao mnajijua ni wabinafsi na mnatamaa za mali tafuteni kwa jasho lenu acheni kuingia kwenye ndoa na kuanza kuchuma mali za mume wako kisha kuomba kuachana
 
Kuna majitu humu ni majinga.. sikupata kufikiria hata humu JF kuna mabumunda kiasi hiki... majitu yanatetea ujinga sijui ni stress za maisha ama nini...

Huyo ch0k0 aitwae Kweka kwanini amuue huyo dada, kwanini utoe bastola una shoot mtu kikatili kichwani? hao ndio aina ya watu kama wale polisi walioua 29 Oct, ni aina ya watu ambao ni wa hovyo... kutoa uhai wa mtu kwao si kitu..

Huyo dada hajafanya kosa lolote kustahili kuuawa kama jambazi ama muuaji... kisa nyumba? hivi nyumba ni kitu cha kukufanya utoe uhai wa mtu?

Katika kitu sipendi ni uonevu, na naapa huyo dada angekuwa ndugu yangu, huyo muuaji ningemchinja kama kuku nipelekwe jela, nisinge hangaika kum shoot, ningechinja kama kuku, Ana bahati huyo mshenzi alijipeleka polisi maana anafahamu nini kingempata.... huyo mbwa angeji shoot na yeye, unaua mtu halafu unakimbiza korodani zako polisi... yeye si kidume , yeye ana hasira sana, basi angeji shoot..... mbuzi kabisa...
 
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Naomba nijibu swali la pili kwa sababu swali namba moja linawahusu wanaohalalisha mauaji ya Jane(Mimi sio mmojawapo)
2. Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!.

Mungu anapopuuzwa vitu kama mauaji,ukatili,ubinafsi n.k ni obvious kutokea!.
Suluhisho ni watu kumpokea Kristo Yesu maisha mwao ili wafinyangwe upya nia na dhamiri zao!
YOHANA 15
3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Don't stress yourself. Mtu akiwa hajampokea Kristo Yesu moyoni mwake usibweteke nae kwa sababu mzizi unaoitwa ubinafsi unakuwa haujang'olewa nafsini mwake hivyo deep down anaishi huku akijihesabu kwamba yeye ni bora kuliko wengine.

Kwa kifupi kuishi na mtu ambaye nafsi yake haijakombolewa na Kristo Yesu jiandae kufanyiwa lolote wakati wowote!. Usijipe matumaini kwenye hamna!.

Ndiyo maana siku zote huwa nasema Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu!
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
 
Hakuna mwenye X-ray machine ya kuumulika moyo wa mtu. Hiyo ni kazi ya Mungu peke yake!.

Ndio maana huwa nasema Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
 
Yule Dr Kweka anayefundisha kuhusu maisha huwa namuona pia akili yake kama bangi bangi
 
Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.

Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Umeita watu machoko kwa kusimama na kweka, na umefika mbali na kuwafananisha na manduli wa Oct 29

Kisha na wewe unapania kumyoosha Kweka kwa Mtindo uleule.!?

Sasa tufauti yake ni nini.? Nikajua ungetaka akamatwe kisha ahukumiwe kama Lisu
 
Hakua mnyonge, kama mnataka wanawake wa kuwaendesha, basi hawa wasomi na wanaijitafutia hela zao wenyewe achaneni nao!
Taasisi inahitaji uvumilvu sana hii, hata tuliomo bado tunajifunza mapya kila uchwao!
Kwingine sio kuvumilia ni kupoteza muda!.
Hata hivyo,Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Tukiacha utani, hoja kama hizi na mada zinazohusiana na haya mambo ya ndoa Kuna muda wale jamaa wa kataa ndoa wanakuwaga sahihi sana ili kuepusha mambo ya homicide kama haya.
Kataa Ndoa hawapo sahihi. Wanashindwa kuelewa ukweli kwamba Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
 
Umeita watu machoko kwa kusimama na kweka, na umefika mbali na kuwafananisha na manduli wa Oct 29

Kisha na wewe unapania kumyoosha Kweka kwa Mtindo uleule.!?

Sasa tufauti yake ni nini.? Nikajua ungetaka akamatwe kisha ahukumiwe kama Lisu
Ufunuo 13:10, Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…