Wameharibu kiasi kwamba saiv hatuaminiani, kuna mchongo umestop sababu ya hili tukioSometimes risasi za vichwa ndio zina amsha akili.
Kama hii issue ya Kweka ni wake up call kwa wanandoa wengi sana.
Kila mtu yupo rada sasa!
Urithi hauji isipokuwa kwa kifo. Kweka na Jane hawajafa, Sasa Jane analinda urithi wa watoto wake kutoka kwa nani? Kwa kutoweka jina la Kweka, maana yake tayari amemfanya Kweka kutokua na mali.. what about Jane, yeye angeolewa au hata kuzaa watoto wengine nao pia si wangerithi hiyo mali kwenye kifo chake? Alicanya kosa kubwa sana la kiufundiHiyo ndoa ilikua ishakufa.
Jina la kweka lingekuwepo kwenye hati ingekua sio sahihi, vipi akioa na kupata watoto wengine?
Jane alikua analinda urithi wa watoto wake.!
Tumekubaliana hivyo kwa kurekodi videos + sauti na mbele ya mwanasheria wetu wa familia.Na nyie mmekubaliana kuuana endapo mtafumaniana ebhanaeeee nyie kiboko
Kwamba ikitokea mmoja kauwa mwenzake hamna kesi sio π ndio sheria za sebuleni kwenu sioTumekubaliana hivyo kwa kurekodi videos + sauti na mbele ya mwanasheria wetu wa familia.
Kwenye Jamhuri kesi ipo, ila nimeona wewe kichwani ni "katuga" kwani umeshindwa kung'amua maana ya kufanya hivyo.Kwamba ikitokea mmoja kauwa mwenzake hamna kesi sio π ndio sheria za sebuleni kwenu sio
Sio kuwa hakuna kesi, kesi itakuwepo, ila hakutakuwa na lawama πKwamba ikitokea mmoja kauwa mwenzake hamna kesi sio π ndio sheria za sebuleni kwenu sio
Kwamba hukuti ujinga kwenye familia za Kihindi?Mbona tunaambiwa kiwanja walipewq kama zawadi ya Harusi wakati huo ?
pamoja na yote , jamaa kachafua familia snaa
Mfano sisi tulishakataa mwanaume home aliekuja kuposa mtoto yetu. Kwenye vetting tuliyofanya tulibaini baba ya huyo mwanaume alimuua mama yake mzazi kwa kumkata na mapangaβ¦. Ni machame huko huko ukoo wa Mushi
Tulimkataa huyo jamaa
Kuna familia hao watoto wakiingia watakataliwa sana hasa familia zinazofanya vetting vema
History repeats β¦ tunaamini hivo
Ukirudi nyuma kwenye ukoo wa kweka back then huenda sio tukio la kwanza kwao
That is why kuoa muhindi ni zaidi ya vetting za kuwa TISS kuepukq ujinga kama huu
THAT IS why hukuti huu ujinga kwa familia za wahindi
Vetting ni muhimu sana wazee - kuna familia nyingine sio kabisa kuruhusu kijana wako kuingia
Wewe ndiye watu wanatakiwa humu JF.Sio kuwa hakuna kesi, kesi itakuwepo, ila hakutakuwa na lawama π
Kwanini msimamizi awe mwanamke sio wote maana yake alijua mumewe atakufa mapema kwa hio ugonjwa wake akaamua ajiseti mchongo wa hati ua kabisaHati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Naomba na mimi nionje.Leo mood imekata, hata mhalifu mwenzangu hatujapandana.
Ila mpaka kesho majonzi yatakua yameisha, tutaendelea tulipoishia.
View attachment 3687207
Utapigwa risasi, shauri yako!Naomba na mimi nionje.
Tutafanya siri- kali inayolindwa na serikali.Utapigwa risasi, shauri yako!
Kwanini tena akaja kulala hapo kimyakimya?Alimkubalia mumewe alivyotaka, alitii π
Siwezi kujua, ila inaonekana tayari kulikuwa na mgogoro
Sijui kwanini, ila najua ndoa zinaweza kufikia ukomo na ndiyo maana kuna taratibu za kisheria za talaka.
Kwa sababu mumewe tayari alishamtishia kumuua na akaenda kuripoti polisi.
Mbali na kuhofia maisha yake, nahisi aliondoka ili kuepusha shari na kutoongeza ukubwa wa tatizo.
Kama alitii mara ya kwanza ,nini kilisababisha a revoke utii wake? Baada ya kumkausha damu jamaa na kugundua anaumwa?Alimkubalia mumewe alivyotaka, alitii π
Siwezi kujua, ila inaonekana tayari kulikuwa na mgogoro
Sijui kwanini, ila najua ndoa zinaweza kufikia ukomo na ndiyo maana kuna taratibu za kisheria za talaka.
Kwa sababu mumewe tayari alishamtishia kumuua na akaenda kuripoti polisi.
Mbali na kuhofia maisha yake, nahisi aliondoka ili kuepusha shari na kutoongeza ukubwa wa tatizo.
Kwanini ajiweke yeye msimamizi na si wote wawili kuwa ni wasimamizi? Huoni kuna nia ovu yenye kujificha ndani yake? Najaribu kuwaza tu kwa kina.Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Kuna podcast jamaa mmoja amesema kijana ukipata uhuru wa kuwa single, uhuru wa kutokuoa basi utumie vizuri.Story nyingi - UKWELI WANAUJUA WAO NA SISI HAITUHUSU LKN TUNACHAKUJIFUNZA.
1.Watu mkikubali kufunga ndoa, msiingie mguu mmoja nje, mguu mmoja ndani
2.Umuhimu uwe kwa mwenza wako zaidi na umoja wenu.Wanawake huwa na tabia ya kujifanya watoto ndo kila kitu [Ubinafsi tu], utasikia mtoto wangu etc.Kuna cases nyingi za wanaume kutelekezwa na wamama kwenda kuishi kwa watoto
3.Kama wote wazima, mali ziandikwe walau kwa majina yenu yote, kama hamuaminiani, lkn mko wazima mmoja anajifanya anawapenda zaidi watoto, et majina yaende kwa watoto ni upumbavu na ujinga: Labda mkubaliane nyote, na isiwe the main house, kuweni na vitu vyenu kwanza then tafuteni vya watoto wekeni majina yenu [Lkn matrimonial house unalazimisha kuweka watoto, hivi wakivuta bangi, wakawauza uzeeni itakuaje, hivi kama mtu ndo Kweka uone nyumba yenu ya ndoa mama anataka kuandika mtoto utakubali, si ujiandae kufurushwa]
4.Kusaidiana isiwe sababu ya kumnyanyapilia mtu.Wanaume kibao wamefanikiwa kwenye maisha sababu ya kusaidiwa na wake zao, directly or.indirectly,kimawazo, kihisia, amani, connection, materially au kwa vitu kama hivyo [So hata huyo dada hakua special sana]
5.Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe.Unaacha watoto wako na mfanyakazi unaenda kuishi na ndugu [ujinga], unaweka amani kwenye mali na vitu mpaka huoni future ya familia yako [ujinga], huyo jamaa tumeambiwa siku zake zinahesabika [cancer], kama alikua hampendi si angekua mnafiki tu, ajasubiri matural cause then akendelea na matamanio yake mengine[kama alikua na moango wa kando n.k].
6.Mshahara wa dhambi ni mauti[Dhambi za utengano, dhambi za tamaa ya mali, dhambi za ubinafsi, uchoyo n..k]HAYA SASA WAMEUWANA WATOTO WATAPITIA CHA MOTO, NA HISTORIA MBOVU SANA YA MAISHA YA NDOA.
MARRIAGE IS NOT FOR WEAK, NI VITA NA MAPAMBANO