Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi πŸ’”

Mara zote huwa nasema huku ndani, mwanaume kukosa akili ndio chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa sababu kuanzia kwenye uchaguzi wa mwanamke wa kuishi nae mwanaume unatakiwa kumsoma huyu mtu atakuja kubadilika au la

Hapa bwana Kweka alikosa akili tokea mwanzo kwa kukubali kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana ndio makosa yalipoanzia
 
Mkuu,unapokuwa chumbani na mwanamke ,amekulalia KWENYE kifua haya mengine utayakumbuka kweli ?
 
Jane alikua mtumishi aliyeajiriwa, mwenye kipato chake binafsi, na elimu ya chuo kikuu (Masters) - KWELI
1. Alikuwa anafanya kazi wapi?
2. Alisomea masomo gani?
3. Mume wake alikuwa na elimu gani?
4. Kama alikuwa ameajiriwa akanunua kiwanja,kwanini alishindwa kujenga nyumba kwenye eneo hilo mwenyewe?
 
Naamini ukweli halisi wanaujua wao wenyewe, sisi huku nje ni speculations tu.

Sasa kama mwanaume alikuwa safarini watoto wakamlilia mama yao njaa, kwanini marehemu asingetuma take away wapelekewe kama hakutakiwa kuingia ndani?

Ina maana Kweka alimkuta marehemu ndani bahati mbaya kisha akamwambia twende chumbani?

If yes, kwanini marehemu akakubali kwenda chumbani huku akijua yeye na mumewe hawana maelewano mazuri?
 
Tufanye yote ni sahihi kuwa Jane ana tamaa na mlafi wa mali

Ila kama mwanaume si hitimisho kumuua mwanamke

Kivipi aani tunashangilia mauaji alichokifanya kweka kuna utofauti gani na walichokifanya ccm kuua wananchi kwaajili ya kujilindia mali

Uwanaume haupimwi kwa misuli tu pia kudhibiti hisia zako demu,mke hata malaya akizingua piga chini tafuta njia ya kujilinda wewe na mali zako ila sio kumuuaaa
 
Mkuu,unapokuwa chumbani na mwanamke ,amekulalia KWENYE kifua haya mengine utayakumbuka kweli ?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hapo ndiyo inakuwaga kamzozo, nyonyo ziko mkononi bibie anakwambia nina kiwanja basi tujenge, unajikuta umekubali tu. Mapenzi yakipungua akili ikakukaa sawa, tayari ushamwaga milioni 100 nyumba iko kwenye finishing, hapo ndiyo hasira zinapofukuta sasa.
 
RIP Jane! Ila ubabe ulikuwa nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…