100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kama Mussa aliua Mmisri ambae alikuwa anamtesa na kumpiga myahudi, mimi ni nani nisilipe kisasi kwa ajili ya ndugu yangu? , mimi nimechukua nafasi kama ndugu ya huyo dada, angalikuwa ndugu yangu ningemmaliza huyo Kweka, tena kikatili...Wewe ni Nani Mpaka uhukumu
The best revenge is forgivenessKama Mussa aliua Mmisri ambae alikuwa anamtesa na kumpiga myahudi, mimi ni nani nisilipe kisasi kwa ajili ya ndugu yangu? , mimi nimechukua nafasi kama ndugu ya huyo dada, angalikuwa ndugu yangu ningemmaliza huyo Kweka, tena kikatili...
Forgiveness is overrated...The best revenge is forgiveness
Wewe ngoja nikuache tu...Kichwa empty hilo
Jane alikosea kutomshirikisha mume kwenye mambo yanayohusu familia.SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
- JANE ALIKOSEA NINI?
- NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Hiyo amani dada Jane hakuitaka kabisaVery sad kaka π.
Tujitahidi tukishindwana tuachaneni kwa amani tu si wanaume, si wanawake.
Nimesema "sababu aliamini"(sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake -) KWELI
Unaposema nyumba kajenga kwa jasho lake...
je, janeth hakuwa na jasho lake hapo?
Thibitisha hayo uliyosemaMambo ni mengi ila huyo mwanamke
1.Mbinafsi ( selfishness)
2.Tamaa(Desire)
3.Mhemko ( Emotions)
4.Asiekubali kushauliwa(Defensive)
Apumzike kwa amani
Pia hasira hasaraTamaa mbele mauti nyuma
Inaogopesha kwa kweliWamaume wamekuwa makatili sana
Sababu hujazisoma kwenye uzi?Kama waliishi miaka 18 iweje auliwe wakati huu?
Kuna jambo lilipelekea kitendo hicho kufanyika
HAKUNAKuna sababu gani ya kuua
IMO - Violence is never justified, regardless of the motivations, outcomes are always catastrophic.Sema hizi mada zimenisukuma kuwaza sana juu ya justifications for violence.
Is violence justified by its motivations, or by its outcomes?
Mfumo dume umetengeneza narratives nyingi ambazo ni superficial, at some point kwenye maisha kadri unavyozidi kukua, you will come to realize that. Both wanawake na wanaume huwa wanastruggle after that realization, kila mmoja kwa namna yake.Nagundua kuna uongo mwingi sana umejazwa kwenye akil zetu wanaume.
Akili imefunguka sana.
Wamezungumza kwenye msiba, katafute hizo video uwasikilize, hata wao hawamtetei ndugu yao.Mbona sijaona upande wa pili?
Wengi humu JF ni wagonjwaHuwezi unga mkono mauaji ,huo utakuwa ni ugonjwa wa akili
Mikopo akliyochukua kumalizia ujenzi wa hiyo nyumba ili waweze kuhamia na pia kulipa ada za watoto, au unasema mikopo ipi?1. Mama kaacha watoto aliowazaa, kwenye kiwanja alichonunua kwa pesa yake? Kuna kitu unaficha ndugu. Nini sababu ya kufukuzwa hapo nyumbani mbona hutaji MZIGO WA MADENI aliyokua nayo Dada yako MANKA? Wadai je?
2. MANKA alikua na mikopo kila kona ya nchi hii na haieleweki alikua anafanyia nini. Wadai walishadai mpaka wakachemsha. Kutimuliwa kulikuja baada ya drama za manka na mikopo na wadai.
Nimeandika alichosema dada wa Jane, au wewe umesikiliza mahojiano gani?Kiufupi MTAKUFA SANA KWA TAMAA ZENU SAFARI HII
DAWA YA MAJANAMKE YENYE TAMAA ITAKUWA HIYO TU
Uzuri dada wa Jane kashatupa ukweli huu utapeli wako baki nao
Haaa haaaa, msinitibue nianze kutema moto kama dragonNauna mashambulizi ya Ukraine kwenda urusi yameshaanza rasmi hii vita ni kali balaa