Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mtu humu yumo vymba viwili ety ooh ntaua mwanamke akigusa mali zangu mali ipi labda mbupSababu hasa ni hiyo kula goodtime kuna story kuwa alishauza urithi wake huko kwao na alimuuzia kaka yake, na hata hiyo ya bunju kaka ndo alikuwa mnunuzi
Akae Moshi kwa mamake miezi na miezi mchepuko utauona wapi ??Jane licha ya kipato chake na kumuachia mmewe watoto na nyumba kwenda kukaa kwingne hakukubali na kuja kuliamsha upya. Uzuri kweka alilea watoto vizuri na bado hakuingiza michepuko.
kwanini mke hakumshirikisha mmewe hili suara la hati?Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Ndo hao wauaji wakamatwe wote tubaki na wanaojua kuwa wanaumeMtu humu yumo vymba viwili ety ooh ntaua mwanamke akigusa mali zangu mali ipi labda mbup
Hakuna unalolijua bora ukae kimya maana unajifedhehesha bure..Ewaaah na kwann atake kuuza nyumba?? Alikosa hela za kwenda visiwani sio 🤔
Jane kafaa kishujaa!!!!! Amen
Angekuwa mwanaume mwenye kujitambua angekuwa na forecasting matata,Ndo hao wauaji wakamatwe wote tubaki na wanaojua kuwa wanaume
Ninyi Kanda mnayotoka na huyo jamaa ndiyo mnatuchafua wachaga kwa usenge wenuHakuna unalolijua bora ukae kimya maana unajifedhehesha bure..
Labda bwana Kweka alibaini hata watoto sio wake.Jane kanunua kiwanja kabla ya ndoa na ameolewa 2008 ni kitambo kidogo so naelewa unachosema kuhusu thamani.
Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?
Enewei, Jane hakuandika jina lake kwenye hati, hata yeye si mmiliki bali msimamizi tu mpaka watoto watakapofikisha miaka 18 (usimamizi wake ulikua unaisha baada ya miaka 3, mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18).
Ila nafikiri ile kasumba ya watoto ni wa mama, hata kama hati ikiwa kwenye jina la watoto bado mama atanufaika zaidi ndiyo ilimfanya Kweka asikubaliane na swala la kuandika majina ya watoto.
Kwenye ndoa wamiliki wa mali zilizochumwa ndani ya ndoa huwa ni watu wawili tu. Mke na mume. Watoto hawana haki kwenye mali za wanandoa zaidi ya matunzo ya msingi, yaani chakula, malazi, na mavazi. Watoto wana haki zote kwenye mali za wanandoa pale tu wanandoa hao watakapokua wamekufa na mali za wazazi wao hawajapewa watu wengine kisheria au kama bado wanawadai wazazi wao matunzo - yaani kama bado wana umri chini ya miaka 18. Pia mwanandoa mmoja hawezi kubadilisha kihalali majina ya wamiliki wa mali za ndoa pasipo ridhaa ya mwanandoa mwingine. Jane hakustahili kifo, ila kama unayoyasema ni kweli kuhusu Jane, basi aidha Jane alishauriwa vibaya au yeye mwenyewe hakuwa na akili/busara.Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Ingia tu ila uingie ukiwa umetosheka na ya ulimwengu.Huku ndoani sijui tuingie au tusubiri kwanza 🤔
Mkuu si sahihi, alikuwa pale kwa siku 3. Na alikuwa anaishi Mapinga kwa Bwana yake siku nyingi na Kweka alijua hiloKwanza punguzeni kuokota umbea wa mitandaoni, nimeweka interview ya dada Jane kwenye huu uzi, ameeleza vizuri ni wapi alikua anaishi, kwanini aliondoka na kwa sababu gani alirudi nyumbani jioni ile kabla hajauawa.
Ungeisikiliza usingeandika huu 🚮🚮🚮 wako!
Kuna watu hapa jukwaani wanajitoa ufahamu wanakua kama hawalioni hili. Mali ambayo wanandoa wamechangia kuiendeleza pamoja mwanandoa mmoja mume au mke hawezi kihalali kuifanyia maamuzi peke yake bila kupata ridhaa ya mwenza wake.Kwanini Jane hakutaka iwe hivyo? Ikiwa nyumba ilijengwa kwa pesa na gharama za kweka? Alikua hamuamini mumewe au nini??
At the *****ng least 🤦🏾♀️If you want to be a dick, at least build your house on your land.
Uko sahihi.Kuna watu hapa jukwaani wanajitoa ufahamu wanakua kama hawalioni hili. Mali ambayo wanandoa wamechangia kuiendeleza pamoja mwanandoa mmoja mume au mke hawezi kihalali kuifanyia maamuzi peke yake bila kupata ridhaa ya mwenza wake.