Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 533
- 893
Same here.Silaha ni kitu hatari sana kukimiliki ndio maana nikiwa na akili zangu timamu nili irudisha toka mwezi wa pili kituo cha polisi maana nakumbuka niliwahi kufanya mambo ya hovyo tu
Mtu ana nafsi nyingi,nikimaanisha ana sura nyingi,hawezi kukuonyesha sura halisi,kila mtu ana vitu anavyovificha ambavyo hawezi kuonyesha kwa kila mtu.Mara zote huwa nasema huku ndani, mwanaume kukosa akili ndio chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa sababu kuanzia kwenye uchaguzi wa mwanamke wa kuishi nae mwanaume unatakiwa kumsoma huyu mtu atakuja kubadilika au la
Hapa bwana Kweka alikosa akili tokea mwanzo kwa kukubali kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana ndio makosa yalipoanzia
Nimesikiliza vizuri labda kama ungerekebisha maneno yako ambayo watu wanakupinga hapa sehemu umepotoshaNimeandika alichosema dada wa Jane, au wewe umesikiliza mahojiano gani?
Mbona mnajitoa ufahamu, hebu kasikilize tena hiyo interview, nimeilink kwenye huu uzi.
Ukiangalia kwa kina Jane palivyo na kwa kina kweka tunajua wazi huu uongo wako ulipoMwanaume amefeli pakubwa sana, wapo wanaoona mwanamke alitakiwa kuandika jina mumewe kwenye hati lakini hawajui kama huyo lau alikuwa anawajibika kama baba kulea na kutunza familia yake,
Mama ndo alikuwa breadwinner wa familia ni yeye ndo alikuwa kiongozi ama kwa kudanga kukopa nk alihakikisha familia yake ina survive sasa kwa mazingira hayo ni ngumh kumkabidhi asset yoyote huyo mumewe, maana mwisho wa siku angeuza na angeanza upya kujitafuta,
Damu yake imemwagika akitetea manufaa ya watoto wake, huyu kenge mwingine atavuna alichopanda
Nimekupa ukweli halisi ukichukia utajua wewe kijanaWewe ngoja nikuache tu...
Am too old for this...
Nimekwisha kuwa mtu mzima...
interests zangu, thamani yangu, na energy ime shift sipo huku tena... najitahidi sana nisitukanane na watu...
Sijakushikia bastola usome au uamini nilichoandika, acha kubweka ovyo kama mbwa kokoUkiangalia kwa kina Jane palivyo na kwa kina kweka tunajua wazi huu uongo wako ulipo
Mtu maskini ana bastola registered? Maskini wa wapi?
Wanawake wenye tamaa kama Jane sikuhizi wanakufa tu
Wewe ndio unabweka bweka hapa kumtukana jamaa hata hayupo humuSijakushikia bastola usome au uamini nilichoandika, acha kubweka ovyo kama mbwa koko
Sawa shostiWewe ndio unabweka bweka hapa kumtukana jamaa hata hayupo humu
Get a life
Sawa shosti
Wapi au nini nilichopotosha?Nimesikiliza vizuri labda kama ungerekebisha maneno yako ambayo watu wanakupinga hapa sehemu umepotosha
Au sisi tuna masikio mabovu?
Tulia bwana mdogo. Hakuna unalolijua, trust meNinyi Kanda mnayotoka na huyo jamaa ndiyo mnatuchafua wachaga kwa usenge wenu
Why mtoto apewe umiliki wa nyumba angali wazazi bado wapo?, halafu mwanaume hataki iwe hivyo hataki mwanamke unalazimisha, mwanamke alikuwa na nini nyuma ya pazia??Hati ya nyumba tayari ilishatoka mkuu ikiwa na majina ya watoto - hata mke hakua mmiliki bali msimamizi tu mpaka mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18.
Hapana, mwanamke alikosa hekima alikuwa na tamaa ya mali kwanini hakumwambia tangu mwanzo kwamba wasijenge mahali pale, udhaifu wa Kweka kumstahi na kumheshimu mke wake ndo iwe nongwa??, mwanamke alikuwa na tamaa ya mali, halafu alitaka kumfarakanisha Bw. Kweka na watoto wake. But I stand to be corrected.Mara zote huwa nasema huku ndani, mwanaume kukosa akili ndio chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa sababu kuanzia kwenye uchaguzi wa mwanamke wa kuishi nae mwanaume unatakiwa kumsoma huyu mtu atakuja kubadilika au la
Hapa bwana Kweka alikosa akili tokea mwanzo kwa kukubali kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana ndio makosa yalipoanzia
Mali ni ya mume na mke, mali sio ya watoto. Acha watoto watafute mali zao. Nyie ndo mnafuga uzembe wa kwamba eti mali wanatafutiwa watoto, upumbavu kabisa!!Hiyo ndoa ilikua ishakufa.
Jina la kweka lingekuwepo kwenye hati ingekua sio sahihi, vipi akioa na kupata watoto wengine?
Jane alikua analinda urithi wa watoto wake.!
Tena wajinga humu wanasema kiwanja kilikuwa cha mke, kwa nini alikubali jamaa aweke pesa take kwenye ujenzi. Huyo marehemu alitaka kumuibia mwenza wake kwa kigezo cha watoto.Hapana, mwanamke alikosa hekima alikuwa na tamaa ya mali kwanini hakumwambia tangu mwanzo kwamba wasijenge mahali pale, udhaifu wa Kweka kumstahi na kumheshimu mke wake ndo iwe nongwa??, mwanamke alikuwa na tamaa ya mali, halafu alitaka kumfarakanisha Bw. Kweka na watoto wake. But I stand to be corrected.