Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi πŸ’”

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
get rich or die trying kumbe msemo huu unafanya kazi, sawa sawa na get mbususu or die with upwiru, hiyo ndoa kila mmoja ameambulia huu ujumbe.
 
Umesoma uzi?

Hakubadili alitengeneza (kwa sababu yeye ndiye alikua mmiliki wa kiwanja) na akaweka majina ya watoto badala ya jina lake na la mumewe.
Kama yeye alikuwa mmiliki wa kiwanja, na akajenga Kweka, huoni kuwa ingekuwa jambo la busara angemshirikisha Kweka katika ku process hati ya umiliki? Na kama Kweka anaumwa saratani, ni ingekuwa busara zaidi kumshirikisha yeye kwani at the end of the day, ataaga dunia na kumwachia nyumba, other factors constant.
 
Siku hizi kuna hati ya pamoja kwa assets na mali mlizochuma pamoja

Hata hivyo kwa mujibu wa sheria, mali ambazo mke/mume alichuma kabla ya ndoa ni hiyali yake kuifanya ya pamoja ama yake pekee, japo inashauriwa itengwe na zile zilizochumwa ndoani/kwa pamoja

Hata hivyo, sioni haja ya assets hizo kuandikwa jina la baba ama Mama pekee wakati mnao watoto pamoja

Ni maoni yangu, Mali/assets ziwe zinaandikwa majina ya watoto chini ya uangalizi wa wazazi wote mume/mke

Ikitokea mkaachana/kutengana ni vyema Baba aondoke amwachie nyumba mke ili alee watoto

NB: Mtaka vyote kwa pupa, hukosa vyote ✍️
 
Yeah . Kuna namna watu inabidi wafanye background checking... Sema hii inabidi utumie akili (logic) kuliko hisia. Utaujua ukweli wa mtu alivyo
 
Nasimama na kweka pia tupo tunalishughulikia tatizo lake hapa osterbay tukiwa na mawakili mahiri wa sheria aweze kupata haki yake ya kimsingi arudi uraiani mapema sanaπŸ™
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utafanya wafuasi wa Jane wapandwe na kichaa bure hapa. Em tulia hata kuzika bado. Lol
 
Kwenye ndoa au mahusiano,
moja akijihesabia haki zaidi ya mwingine, wakati waliapa kua mwili mmoja katika kiapo cha ndoa, ni hatari sana, Lakini wanandoa kua drived na sense of perfections kwenye maisha yao ni hatari zaidi.

Ni muhimu sana kua waaminifu, wastahilivu na wenye subra, na daima kurekebishana na kusahihishana kwa upendo kama familia.

Ni jambo la maana sana kwa wadau wote wa JF, kuchukua matukio haya mabaya na ya fedheha sana, kama funzo na fursa ya kuijimarisha zaidi kisaikolojia na kua madhubuti katika kudhibiti mihemko nonsense kama ya wanaodiriki kufanya ukatili wa fedheha namna hii.

Ishi nao kwa akili, sio mihemko πŸ’
 
6. Jane alitaka hati ya nyumba iwe kwa jina lake - SI KWELI
Kwa nini hakutaka iwe na majina ya wote kama alikuwa na nia njema?
7. Jane aliweza kutengeneza hati sababu kiwanja kilikua mali yake na bwana Kweka hakutaka majina ya watoto kwenye hati bali jina lake mwenyewe, sababu aliamini nyumba ameijenga kwa jasho lake - KWELI
Yaani juzi ndo alijua kuwa kiwanja ni chake? Why ha aje abadilike suddenly kama hakuwa na nia mbaya?
8. Jane alirudi nyumbani kwao masaa machache kabla ya kuuawa, kuwapelekea watoto wake chakula kwa sababu walikua wameishiwa na baba wa watoto alikua safarini Moshi - KWELI
 
Kama yeye alikuwa mmiliki wa kiwanja, na akajenga Kweka, huoni kuwa ingekuwa jambo la busara angemshirikisha Kweka katika ku process ya umiliki?
Unafikiri alitengeneza hati kwa majina ya watoto bila kumshirikisha mumewe? wanaume karibu wote huwa wanataka mali zao ziende kwa watoto wao, haikufikirishi kwanini Kweka yeye alikua anapinga?
Na kama Kweka anaumwa saratani, ni ingekuwa busara zaidi kumshirikisha yeye kwani at the end of the day, ataaga dunia na kumwachia nyumba, other factors constant.
Inaonekena tayari kulikua na migogoro, hata hayo mambo ya kutishana yalisharipotiwa mpaka polisi. Ila, what if umuweke umiliki, afe aache wosia kwamba nusu yake wapewe ndugu zake na si watoto au worse apewe mchepuko wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…