Sasa mahi, kwanini Huyo Jane asingeacha utambulisho usome wa kweka, hadi mtoto akifikisha umri wa 18yrs ndipo wafanye taratibu za kubadilisha? Tatizo lilikua nini yaani?Jane kanunua kiwanja kabla ya ndoa na ameolewa 2008 ni kitambo kidogo so naelewa unachosema kuhusu thamani.
Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?
Enewei, Jane hakuandika jina lake kwenye hati, hata yeye si mmiliki bali msimamizi tu mpoka watoto watakapofikisha miaka 18 (usimamizi wake ulikua unaisha baada ya miaka 3, mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18).
Ila nafikiri ile kasumba ya watoto ni wa mama, hata kama hati ikiwa kwenye jina la watoto bado mama atanufaika zaidi ndiyo ilimfanya Kweka asikubaliane na swala la kuandika majina ya watoto.
Nitamtoa meno, hawezi kuthubutu π πBinti wa zamani nakutingisha kote makebo kwa baba mjengo wa yours, siku akizingua unaweza mkazichapa kavu kavu?ππ
Inasemekana jamaa alitaka kuuza nyumbaSasa mahi, kwanini Huyo Jane asingeacha utambulisho usome wa kweka, hadi mtoto akifikisha umri wa 18yrs ndipo wafanye taratibu za kubadilisha? Tatizo lilikua nini yaani?
It makes sense, maana si kawaida baba kupinga hati ya nyumba kuwa kwa majina ya wanae.Kuna sehemu wanasema jamaa alitaka nyumba iuzwe ndo maana alimind hati ya nyumba kutokuwa na jina lake
Duuh taasisi ngumu eeh? Mbona ni hatari sana, wengine tutaogopa sasa kuwa join. WoiiiihTaasisi inahitaji uvumilvu sana hii, hata tuliomo bado tunajifunza mapya kila uchwao!
Selfishness and possession turns people into merciless bloodshedNimeshasikia mengi sana kuhusiana na mkasa huu, ila ki ukwel inaonekana marehem alikuwa mbinafsi sana, hakutaka nyumba iwe ya familia (baba, mama na watoto) ila alitaka iwe yake yeye na watoto pekee!
Inakuwaje mpo katka ndoa halaf baba ambae ni kichwa cha familia anatengwa katka umiliki, et kisa mwanamke ndo kanunua kiwanja na kujenga, mbona sis wanaume unapokua na mali zinahesabika ni mali za familia (na mke akiwemo)!?
Ila kuna wanaume wananyanyasika sana katka ndoa zao, sema machoz na maumiv yao hakuna anayeyajali!
Em kuweni serious, jamaa auze nyumba kwa kipi? Ilihali watoto wapo? Na kwanini atake kuuza nyumba?? Sababu hasa ni ipii?Inasemekana jamaa alitaka kuuza nyumba
Ndoa iheshimiwe na watu wote,
Ndoa yenye upendo pasi na tamaa ya mali wala usaliti wa kimapenzi.
Yeah .. kwenye hii hoja yako ,kumtetea bwana kweka ni ngumu asee.. jamaa inaonekana since day one alishoboka na weupe wa mama mjengo wake .. ona sasaMara zote huwa nasema huku ndani, mwanaume kukosa akili ndio chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa sababu kuanzia kwenye uchaguzi wa mwanamke wa kuishi nae mwanaume unatakiwa kumsoma huyu mtu atakuja kubadilika au la
Hapa bwana Kweka alikosa akili tokea mwanzo kwa kukubali kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke maana ndio makosa yalipoanzia
Kwamba upande wa aliyeua nao unatetewa?Mashambulizi ni makali sana kutoka kila upande.
Makombora ya lawama na utetezi yanarushwa kutoka kila upande.
Mtanange umekuwa wa moto sana huu.
Kila upande, unakabia kwa juu.
Hakuna anayekubali makosa ya upande wake.
Mambo ya kuwaza ukuni wa bamjengo ni mtamu, huyohuyo ndio anakutwanga na risasiHakika
Alitaka nyumba iuzwe wakajenge kwenye kiwanja cha mwanaume.Em kuweni serious, jamaa auze nyumba kwa kipi? Ilihali watoto wapo? Na kwanini atake kuuza nyumba?? Sababu hasa ni ipii?
Nadhani nilipo-bold umeelewa nilichokiandika,kama wanandoa mmekubaliana mke umenunua kiwanja then katikati ya safari mume akapata cent akaweka wazo mezani nataka ninunue kiwanja nijenge wewe mwenye miguu yako 25x25 Bunju uliyonunua chini ya 2mill ukamwambia usihangaike kuna kile kiwanja changu pale na sisi ni mwili mmoja jenga nyumba yetu ya familia......Jane kanunua kiwanja kabla ya ndoa
Ila sheria za umiliki zinasemaje? nani ni mmiliki, mwenye kiwanja au aliyejenga?
Enewei, Jane hakuandika jina lake kwenye hati, hata yeye si mmiliki bali msimamizi tu mpoka watoto watakapofikisha miaka 18 (usimamizi wake ulikua unaisha baada ya miaka 3, mtoto wao wa kwanza atakapofikisha miaka 18).
Ila nafikiri ile kasumba ya watoto ni wa mama, hata kama hati ikiwa kwenye jina la watoto bado mama atanufaika zaidi ndiyo ilimfanya Kweka asikubaliane na swala la kuandika majina ya watoto.
ππππππTufanye yote ni sahihi kuwa Jane ana tamaa na mlafi wa mali
Ila kama mwanaume si hitimisho kumuua mwanamke
Kivipi aani tunashangilia mauaji alichokifanya kweka kuna utofauti gani na walichokifanya ccm kuua wananchi kwaajili ya kujilindia mali
Uwanaume haupimwi kwa misuli tu pia kudhibiti hisia zako demu,mke hata malaya akizingua piga chini tafuta njia ya kujilinda wewe na mali zako ila sio kumuuaaa
Usiogope sio woteDuuh taasisi ngumu eeh? Mbona ni hatari sana, wengine tutaogopa sasa kuwa join. Woiiiih