Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi πŸ’”

Haya maswali yanayohitaji majibu ya Kweli au si kweli unaweza ukayabahatisha na kufaulu zako mtihani, kisha ukaonekana mwenye akili sana.
Nje ya mada, nasikia mnanizogoa ila hamnitag jamani, shida nini.
Naomba ukiona nafanyika mada huko uniite nije nione mnaongelea nini πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Je ni kweli huyo bwana aliwahi kuwa Terminal Ill ? Na je kipindi hicho nani alihudumia familia ? Kuna uwezekano wa kuwepo kwa sponsor in between aliyesaidia familia izidi kusonga mbele ila kwa malipo ya sio na staha kwenye ndoa ?
 
Tufanye yote ni sahihi kuwa Jane ana tamaa na mlafi wa mali
Mpwa, umeanza lini uongo na unafiki πŸ˜‚
Umesema kwa busara sana, kudos kwa mchango huu!
 
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
mama angeandika majina ya watoto tu au watoto na mme na mke...njia bora angeandika majina ya mume na mke na watoto si vinginevyo ...mnapokuwa na magomvi jiepusheni na kuchochea moto ..kitendo cha mke kwa wakati huo akikuonyesha mwelekeo mzuri hata chembe.
 
Je ni kweli huyo bwana aliwahi kuwa Terminal Ill ? Na je kipindi hicho nani alihudumia familia ? Kuna uwezekano wa kuwepo kwa sponsor in between aliyesaidia familia izidi kusonga mbele ila kwa malipo ya sio na staha kwenye ndoa ?
Mke ni mtumishi alikua na kazi, sina hakika ila nafikiri wote walikua wanachangia kwenye familia yao.
 
Tukiacha utani, hoja kama hizi na mada zinazohusiana na haya mambo ya ndoa Kuna muda wale jamaa wa kataa ndoa wanakuwaga sahihi sana ili kuepusha mambo ya homicide kama haya.
 
Nakubaliana na wewe, kama baba alikua na mipango mingine kama kuuza nyumba au kurithisha wengine, basi swala la kuandika majina ya watoto bila majina yao wenyewe, lilichochea ugomvi na kuwafikisha mahali pabaya.
 
Umesoma uzi?

Hakubadili alitengeneza (kwa sababu yeye ndiye alikua mmiliki wa kiwanja) na akaweka majina ya watoto badala ya jina lake na la mumewe.
Hayo aliyoyafanya mume wake aliyaridhia ? Na hata kama yeye alikuwa mmiliki wa kiwanja , nyumba alijenga nani? Na kwanini aliweka majina ya watoto lakini siyo ya kwao pia kama wazazi.?
 
SWALI (hasa kwa wanaume walioreply wakiunga mkono mauaji na huyu mama kwenye nyuzi zilizopita)
  • JANE ALIKOSEA NINI?
  • NI NINI KIFANYIKE ILI MAUAJI NA UKATILI KAMA HUU USIENDELEE KUTOKEA?
Hizi taarifa za ndugu wa Jane ni maoni ya upande mmoja tu.

Na wala sio facts.

Vipi taarifa za upande wa Mwanaume Kweka?

Taarifa za upande mmoja tu, sio hitimisho la kumtetea Jane.

Huwezi kuita taarifa za upande mmoja facts, wakati hujasikiliza taarifa za upande wa pili. Kulinganisha ukweli ni upi.

Kwa sababu kwenye issue kama hizi, kila ndugu atatetea upande wa ndugu yao.
 
Mimi nachokiona ni wahuni wame wahiana tu, hata huyo Mama angemuwahi jamaa angemuua
 
Ni kweli kabisa, lazima kuna chimbuko na matukio mengine ambayo si mazuri kwenye historia yake.
Ukatili wa hali ya juu kumuua mama watoto wako.
Na amemuua nyumbani na watoto wake wote wakiwemo ndani.
YANI UNAWEZAJE πŸ’”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…