CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
We ni takataka, hizo habari za vicarius filii dei ni za muda. Kwanza hakuna title kama hiyo. Mtafute padri Titus Amigo pengine atakusaidia. Hizo takataka umeandika wee ila ni takataka. Kanisa ni moja tu. Takatifu katoliki, we have been there. Misuse of smart phones.
Ndio naabudu. Utanifanya nini labda?Kanisa la kuabudu sanamu????
JITAHIDI USOME UFUNUO 17.
Jibu kwanza maswali niliyo kuuliza, kabla ya wewe kuuliza.Hata KUKUJIBU naona ni KUPOTEZA MUDA.
1. Sasa mnapoambiwa na KIONGOZI WENU msome MNATEGEMEA mtasoma wapi????
2. Na vilienda wapi???
Unaushaidi Gani kama vipo ama HAVIPO?????
3. Nani aliyevichukua????
4. Kwanini VITABU vipotee???????
Akili ZENU zinashangaza sana!!!!!
Hiyo aya inawajibu mayahudi ambao walikuwa wakijinadi ya kuwa wao ni maadui wa Jibril. Shida hamsomi, hili nakumbuka nishakujibu humu ndani lakini sababu wewe ni Mjinga unarudia tena.QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.View attachment 2614752
Umedanganywa na nanJinga kabisa hujui science na takinolojia chazo chake ni Uislamu we ni shoga kweli kweli.
FreemasonKumbe Sir Isaac Newton naye alikuwa mfuasi mwaminifu wa Yesu Kristo?
Ok madam nimekuelewa inawezekana hata huo usenge wako chanzo chake ni uislamuJinga kabisa hujui science na takinolojia chazo chake ni Uislamu we ni shoga kweli kweli.
Nani amekwambia kuwazaini kuwa zaa ?JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????
Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.
HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????
Ukichunguza vizuri, dini zote ni za mchongo tu!Kuna waislamu wanajifanya WAFIA DINI laiti wangejua Dini yao Ni ya mchongo
Hii ndio imani ya kweli ila ni ngumu watu kitambua. Shetan anapiga vita imani ya kwel.. hana shida na walio poteaUKRISTO umeteswa sana Hapa Duniani.
Nikiangali Yesu alivyokuwa anateseka kwa wa Rumi na Wayahudi. Machozi YANANITOKA.
Nikiangalia akina Petro, Akina YOHANA akina Stefano. Akina Jerome.
Wakristo wameteseka sana
Hii Imani imepiganiwa usiku na mchana.
Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;.
Mkuu Jackwillpower.
Lile jiwe JEUSI ndio shetani WANAPENDA kupiga mawe????
2. Hivi shetani Huwa anapigwa kwa mawe au wanamtukiza???...
3. Hija Yao ikoje???
Na Hiyo MISIKITI huko Maka kibra Yao ndio wapi??????
Kuna ushahidi wowote kwa hili usemao? Je pia kuna ushahidi wowote wa kimaandishi kuwa Muebrania alienda kwa wakuresh na kuishi huko? Naomba andiko tafadhali?Naomba nikupe Elimu kuhusu jiwe jeusi kwa kifupi sana;
Alkaaba ilijengwa na Ibrahim na mwanae Ismail kwa maelekezo ya Mungu ili wanadamu wapate pa kuelekea wakati wanafanya Ibada. Jiwe alilotumia Ibrahim (kama ngazi) kusimama ili ajenge sehemu ya juu ya Alkaaba lipo hadi leo hapo pembeni ya alkaaba (kwa nje) na lina alama ya Unyayo wake (usiniulize aliwezaje kubonyeza jiwe kwa miguu yake)
Kuhusu jiwe jeusi; Baada ya Ibrahim kukamilisha ujenzi wa alkaaba, alisema aweke alama hata huko baadae kama alkaaba itajengwa upya watu wajue eneo halisi ilipo jengwa; Ili kuweka alama ndio akatafuta jiwe la tofauti na yaliyokuwepo eneo hilo akapata jiwe la tofauti akaliweka (ndilo watu huita jiwe jeusi)
Kwa maelezo hayo; hilo jiwe liliwekwa kama alama ya kuonesha alkaaba ilipojengwa na sio vinginevyo...
Kwa kifupi sana hayo ndio maelezo yake wala hakuna mtu anaye abudu jiwe jeusi; ni UPOTOSHAJI !!!
Usikubali kudanganywa na wasio na Elimu huko mtaani au wanaopotosha uislam kwa manufaa yao binafsi...