Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Unakataa ila kama kweli vile😊, Roman Catholic tukiachana na imani kuna ma genious na mikakati mikubwa sana ya power and wealth.Kwahio na Roma wameona watafute Kiki kupitia uislam yaan na imani inahitaji Kiki duuh...sawa basi hamieni kwenye dini mlio anzisha Sasa si yenu?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app