Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Kwahio na Roma wameona watafute Kiki kupitia uislam yaan na imani inahitaji Kiki duuh...sawa basi hamieni kwenye dini mlio anzisha Sasa si yenu?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Unakataa ila kama kweli vile😊, Roman Catholic tukiachana na imani kuna ma genious na mikakati mikubwa sana ya power and wealth.
 
Dalili za siku za Mwisho
🤣🤣🤣Bibi yako alimwambia hivyo babu yako, mama yako akamwambia hivyo mama baba yako, na sasa wewe na mke wako mnaambia hivyo na kuwaambia watoto wenu.

Mambo ya siku za mwisho ni ya kuachana nayo, piga kazi safi jilimbikizie. Sali au swali tu kama utaratibu,kwepa dhambi. Yaliyobaki yataji balance.

Hawa tunaowapa vyeo wanakaa mbele yetu misikitini na makanisani nao ni kama sisi.

Hawajui na hawana uhakika na lolote wanalolisema kuhusu Mungu zaidi ya kunyambua na kuwa mahiri katika kufafanua na kutetea dini zao🤣.
 
"Kadinali Bea alipotushirikisha huko Vatican, alisema, maandishi haya yanalindwa kwa sababu yana habari zinazohusisha Vatikani na uanzishwaji wa Uislamu. Pande zote mbili zina habari nyingi juu ya kila mmoja, ambazo zikifichuliwa, zinaweza kuleta shida na kashfa kwa dini zote mbili.
Duh,
Mpango wa dini moja kuanzisha "dini" nyingine ili kughilibu watu ni jambo la ajabu sana
 
Back
Top Bottom