Ukweli kuhusu kifo cha Adolf Hitler

Ukweli kuhusu kifo cha Adolf Hitler

Hitle aliuwawa nazani na dereva wake yeye hitle mwenyewe alitoa instructions na mwili wake ukachomwa moto badae warusi walikuja kuupata wakausafirisha kwa siri mpaka kwao alikufa yeye mkewe pamoja na watoto wake
 
Kuna story zingine zinasema Adolf Hitler alifanikiwa kutoroka na shehena kubwa ya dhahabu yuko hai Brazil mafichoni
ef28e27f3c1d5e566cf8b8679d5385dd.jpg
 
Hitle aliuwawa nazani na dereva wake yeye hitle mwenyewe alitoa instructions na mwili wake ukachomwa moto badae warusi walikuja kuupata wakausafirisha kwa siri mpaka kwao alikufa yeye mkewe pamoja na watoto wake
Aisee..kweli historia imeingiliwa
 
Kuna Uzi humu unagusia hiyo historia kwa kina sana.
 
Sijawahi kuisikia ubini wa Hittler, au watoto na ndugu wameamua kuukana ukoo wake
 
Back
Top Bottom