klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
we malizia kucheka, halaf kama jinsia yako haiko katika katiba ya pharmacy au at least maternity ward, utatakiwa kuikimbia sredi haraka iwezekanavyo kabla hatujaripoti kwa mod. asante kwa ushirikianohahahahahaha nimecheka sanaa, hivi vidonge viwili ni balaa!
pia tunawashkuru mod kwa kutambua umuhimu wa hizi tiba na kuamua kuziweka huku JF dokta. hivi hakuna mod wa hii jinsia tunayotibu? just kyurias. hakyanani ukipata zali la kumtibu mod haupigwi ban hata ukimtukana slaa na kikwete at the same thread.Copy that my fellow kidonge....let them die tubakie sisi wawili tuwatibie them waota nyonyo nachuro!
unashangaa au unauliza? wewe nazani unahitaji 4-4-2 inaonekana una plus 6 and half.....???JF Doctor???.....
Haya Asprin na Kloro get to work!
unashangaa au unauliza? wewe nazani unahitaji 4-4-2 inaonekana una plus 6 and half
Kuna nini kinaendelea hapa??
Klorokwin?? hii dawa kabla ya kustaafishwa ilikuwa chungu sana..
hapa ni JF dokta, mnatakiwa kuonesha shahada zenu za nzumbe kabla kuchangia post yoyote.Nashangaa maana dawa ambayo ilishapigwa STOP imerudishwa dukani!
hapa ni JF dokta, mnatakiwa kuonesha shahada zenu za nzumbe kabla kuchangia post yoyote.
hapa ni JF dokta, mnatakiwa kuonesha shahada zenu za nzumbe kabla kuchangia post yoyote.
khaaaaa! sawa bana mungu atanilipiaShahada ya mtaani inatosha kutambua kwamba KLOROKWINI ni dawa isiyo halali!Labda kimagendo kama dawa za kulevya so it got business being here!
chuo gani hicho mkuu??
Ila Klorokwin ilikuwa ndo yenyewe.. dozi tatu tu
TANZANIA KILA KITU KINAWEZEKANA (Isipokuwa maisha bora kwa kila Mtanzania).Nashangaa maana dawa ambayo ilishapigwa STOP imerudishwa dukani!