The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Tena huyu ni zaidi anakimbia kwa kunyata ngoja aamke leo aione hii thread hapa kutakuwa na comedy za kufa mtuhahahahah ndo wale wale wanaokimbiza mwizi wakisema kimbiza mwizi men...........na mkono mmoja umeshikilia trouser... teh teh
:lol::lol::lol: Klorokwin nikakata kona dakika mbili ananigeuka ndugu yangu huyo lakini simuamini kabisaPartner s in crime
TF mpenzi hata na wewe kundi lao
Hahahha lol
Aisee hili li tablet lenzangu leo naona zali limemwangukia.
Mai Dia Felo tablet popote ulipo, haya maujiko naomba tuyafanyie sharing....Ukitibia malaria ya AD hakikisha unakibwatua kichwa chake kwa maumivu ili aje kwangu nimpe Asprin za kutosha.
Aisee nasikia wivu sana kwanini kidonge mwenzangu apewe ujiko peke yake? AD ukipata maumivu ya kichwa usinitafute kudadadadadadadeki!
Leo ni siku ya SHAROBARO Klorokwin duniani, AD hivi klorokwin expire date yake ni lini? Hapa naongeza wawili (Uporoto na Hashycool) kumaliza siblings wa SHAROBARO Klorokwin.
Aisee kumbe kidonge cha klorokwini kina jinsia ya kike? Sikujua swahiba kaenda kwenye unajimu.
Asprin ina jinsia ya kiume....haina siku zake!!!!!!!!!!:juggle::juggle:
Kila aombaye hupokea
naye abishae atafunguliwa
na atafutaye huona
Nilifanya vyote hivyo na hukunipokea
hahahahahahahah lol
Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?
Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!
Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
Hashycool nimemtafuta manzese, tandale kwa tumbo nikajaribu kwenda hadi tandale popobawa sikumuona nikajaribu kusogea hadi manzese midizini labda atakuwa kule anakunywa banana lakini na kwenye sikumuona nimejaribu kusikiliza matangazo ya vifo na yenyewe sijasikia jina lake likitajwa nimezunguka vituo vya polisi sijamuona kati ya mahabusu wa kule, pia nimechunguza kwenye log book za guest zote kule temeke mikoroshini na yombo dovya na yombo vituka na kwingineko sijaona jina lake.Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?
Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!
lokesheni yangu ni matenite wadi...siku tf akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
Eti babu,
ukichanganya Asprin na Klorokwin
Pamoja inafaa kweli..?
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..
Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama
Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen
Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...
asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....
Atakuwa anajipiga mapouda kwanza kabla ya kuja hapa:lol:Aisee huyu Hashycool yuko wapi, dah wawage wanatoa taarifa bwana, kuna viongo vingine huku visipoonekana hata kurasa za page hazifunguki vizuri ujue.Tukio la Japan halihusu hapa labda?
Klorokwini mwenyewe huyu mbona bado amelala hajui kama leo ni siku yake!!!!
hashycool nimemtafuta manzese, tandale kwa tumbo nikajaribu kwenda hadi tandale popobawa sikumuona nikajaribu kusogea hadi manzese midizini labda atakuwa kule anakunywa banana lakini na kwenye sikumuona nimejaribu kusikiliza matangazo ya vifo na yenyewe sijasikia jina lake likitajwa nimezunguka vituo vya polisi sijamuona kati ya mahabusu wa kule, pia nimechunguza kwenye log book za guest zote kule temeke mikoroshini na yombo dovya na yombo vituka na kwingineko sijaona jina lake.
:lol::lol::lol: Sijui niendelee kukuita BABU maana yule babu wa Loliondo ameharibu image ya watu wanaoitwa BABU:lol:Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
Dah!!! Hicho kisomo kitakuwa ni balaa maana hata alama za hashycool hazionekani fanya fanya umsomee kisomo cha msamaha arudi:lol:na wewe na huyo hashcool humsahau tuu,,,, hujui kama yale alionitendea hayakustahili,,,, nilimsomea kisomo ndio maana kapotea,,hehehhehelloooooll...
dah!!! Hicho kisomo kitakuwa ni balaa maana hata alama za hashycool hazionekani fanya fanya umsomee kisomo cha msamaha arudi:lol:
hhheeheheh leo ni siku ya klorokwin duniani,,,,
Lokesheni yangu ni Matenite Wadi...Siku TF akikumimbisha afu ukajifungua kupitia kikojoleoni ukaletwa wodini nilipo, haki ya walahi sitakupunguzia maumivu, ndio ukome kutonipa maujiko.
BABU ASPRIN BABU LOLIONDO:lol:Hivi kweli babu utamwacha kituu chako
Kiteseke hivyo?
Ikija kwenye dawa ya kutuliza maumivu
mie ntachuku klorokwin.
ikija kwenye dawa ya kutoa ugonjwa Asprin..
hahaha lol
Usikasirike babu mzuri ae