ukweli kuhusu KLOROKWIN

ukweli kuhusu KLOROKWIN

CPU mimi sina na sitaki siku aisee hapana kabisa klorokwin ndio yuko kwenye siku yake leo na kila tarehe 17 ya kila mwezi

Kwahiyo tuseme hautumii EKSITENSHEN KEBO unapoitoboa keyboard yako hapo ulipo??
 
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..

Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama

Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen

Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...

asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....

- kwa niaba ya majirani zangu walioambukizwa ukimwi kwa bahati mbaya.

- kwa niaba ya wagonjwa wa kwashiakoo east afrika mashariki na kati

- kwa niaba ya mwalimu wangu wa physics ambae hata spelling ya neno physics hawezi kuandika.

-kwa niaba ya vichaa wa milembe ambao wamepata matumaini baada ya kuwepo ufunuo huko loliondo.

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru AD na wote mliohuzuria katika sherehe hii ambayo imeniongezea idadi ya PM

asanteni na mbarikiwe.

DJ tunaomba wimbo wa "mayasa" kabla umeme haujazimwa
 
Hahahahahahahah lol
Niliona process er inachelewa
nikaamua kuilipua lol

Nway sante kwa kupenda poster
me like u to..mmmhhh

Kuna mtu ame hii sredi yako, mi nika
Niruhusu nivae mabuti nianze kumtafuta nikuletee hadi mezani kwako.
 
- kwa niaba ya majirani zangu walioambukizwa ukimwi kwa bahati mbaya.

- kwa niaba ya wagonjwa wa kwashiakoo east afrika mashariki na kati

- kwa niaba ya mwalimu wangu wa physics ambae hata spelling ya neno physics hawezi kuandika.

-kwa niaba ya vichaa wa milembe ambao wamepata matumaini baada ya kuwepo ufunuo huko loliondo.

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru AD na wote mliohuzuria katika sherehe hii ambayo imeniongezea idadi ya PM

asanteni na mbarikiwe.

DJ tunaomba wimbo wa "mayasa" kabla umeme haujazimwa

Wewe kidude chako cha PM kilishafungwa na CPU tangu ulipojaribu kuingia mkataba gizani na AD
 
- kwa niaba ya majirani zangu walioambukizwa ukimwi kwa bahati mbaya.

- kwa niaba ya wagonjwa wa kwashiakoo east afrika mashariki na kati

- kwa niaba ya mwalimu wangu wa physics ambae hata spelling ya neno physics hawezi kuandika.

-kwa niaba ya vichaa wa milembe ambao wamepata matumaini baada ya kuwepo ufunuo huko loliondo.

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru AD na wote mliohuzuria katika sherehe hii ambayo imeniongezea idadi ya PM

asanteni na mbarikiwe.

DJ tunaomba wimbo wa "mayasa" kabla umeme haujazimwa

Si mchezo wewe kweli kloro
 
Aisee hili li tablet lenzangu leo naona zali limemwangukia.

Mai Dia Felo tablet popote ulipo, haya maujiko naomba tuyafanyie sharing....Ukitibia malaria ya AD hakikisha unakibwatua kichwa chake kwa maumivu ili aje kwangu nimpe Asprin za kutosha.

Aisee nasikia wivu sana kwanini kidonge mwenzangu apewe ujiko peke yake? AD ukipata maumivu ya kichwa usinitafute kudadadadadadadeki!
hehehe leo nitakuwa nachagua PM. akiwa faifu star napokea akiwa uwanja wa fisi naripoti abyuzi. yaani AD kanipaisha kuliko lonado di kaprio. khaaa! karibuni ze finest nitamgeuza mshika pembe niondoke na AD
 
Akha!Wala staki mie maana kwenye chit chat hua siendi!
jana si tulikuwa pamoja kule chit chat tunadanganyana? au ushasahau ukaniambia nikikupatia ujauzito utafurahi mimi nikakwambia namuogopa mungu. kumbuka vizuri lizzy!
 
hehehe leo nitakuwa nachagua PM. akiwa faifu star napokea akiwa uwanja wa fisi naripoti abyuzi. yaani AD kanipaisha kuliko lonado di kaprio. khaaa! karibuni ze finest nitamgeuza mshika pembe niondoke na AD
Kamanda nakutahadharisha kutokula mishikaki kuna njema imekamatwa katulisha mishikaki ya paka for 5yrs yu kanti bilivu.
 
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..

Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama

Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen

Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...

asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....

Hongera mr. Dawa chungu. Upo juu sana. Good sence of humour meeen
 
Back
Top Bottom