NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
alaaa!! Kumbe...
Ohooo!!! Kumbe kesho katavi atakuwa kwenye siku yake:lol:heheheh ulikuwa hujui kesho nakutaarifu na wewe itakuwa siku yako okay???understood??? Kanunue suti kabisaa na perfume...mi ntakuletea mauwa na card hehehe.... Kazi moja tuu,,,
ohooo!!! Kumbe kesho katavi atakuwa kwenye siku yake:lol:
:a s 13::a s 13::a s 13:na wewe yako tarehe 20,,,,hehehhe mwaka huu lazma mnenepe tena nini mnachotaka,,,,kila mtu keshakuwa na siku zake sasa msifanye tena fujo,,,,,, tumewatunuku mwaka huu,,,heheheh,,
:a s 13::a s 13::a s 13:
Uporoto nae siku zake ni lini?? maana nimeishajua siku za klorokwin kila tarehe 17 ya kila mwezi klorokwin anakuwa kwenye siku yake.HEHEHEH BELEAVE WHAT EVER HAPPEN FROM NOW ON,,, DONT BE SUPRISSE WITH ANYTHING,,HEHEHEH,,
Lol!!! DC Klorokwin anataka ubabuAsalaamu aleikum....bandugu bapendwa!!
Naona bado tupiga jalamba tu...Bwana harusi kapotelea kwenye nyumba za wageni....Kazi kweli kweli!!
Afadhali mie nimeukana ubabu...sitaki kuwa kuitwa mwanga kama yule wa Loliondo!!
Aisee hili li tablet lenzangu leo naona zali limemwangukia.
Mai Dia Felo tablet popote ulipo, haya maujiko naomba tuyafanyie sharing....Ukitibia malaria ya AD hakikisha unakibwatua kichwa chake kwa maumivu ili aje kwangu nimpe Asprin za kutosha.
Aisee nasikia wivu sana kwanini kidonge mwenzangu apewe ujiko peke yake? AD ukipata maumivu ya kichwa usinitafute kudadadadadadadeki!
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..
Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama
Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na oxygen
Huyu mtu kweli ni tiba kama jina lake
kila atakacho andika kina ucheshi ndani yake..
Klorokwin please keep doing what your doing
Coz we need people like you here ...
asante sana kwa kutufanya tuwe tuna tabasamu kwenye
Screen ya computer....
Asalaamu aleikum....bandugu bapendwa!!
Naona bado tupiga jalamba tu...Bwana harusi kapotelea kwenye nyumba za wageni....Kazi kweli kweli!!
Afadhali mie nimeukana ubabu...sitaki kuwa kuitwa mwanga kama yule wa Loliondo!!
CPU mimi sina na sitaki siku aisee hapana kabisa klorokwin ndio yuko kwenye siku yake leo na kila tarehe 17 ya kila mweziMi nasubili siku zenu wote, bila kujali ni Babu au Bibi ikitokea EKSITNSHENI KEBO zenu hazifanyi kazi
mtanitafuta tu. Hasa Babu Asprin, TF, Teamo na Mama Mabuti ya Kijeshi AfroDenzi:juggle:
Uporoto nae siku zake ni lini?? maana nimeishajua siku za klorokwin kila tarehe 17 ya kila mwezi klorokwin anakuwa kwenye siku yake.
Hivi unajua kuwa Klorokwin anaweza kuwa ndiyo yule CEDRIC THE ENTERTAINER tunayemuona kila siku l.o.lHahahha
uwi klorokwin babu
embu usinichekeshe
Mie naona klorokwin abaki kuwa mcheshi
Wetu hapa jf basi