ukweli kuhusu KLOROKWIN

hehehe leo nitakuwa nachagua PM. akiwa faifu star napokea akiwa uwanja wa fisi naripoti abyuzi. yaani AD kanipaisha kuliko lonado di kaprio. khaaa! karibuni ze finest nitamgeuza mshika pembe niondoke na AD

Hongera sana,

Hata hivyo nashindwa kuamini macho yangu, pamoja na umri wote huu..Yaani dawa ya chloroquine (CQ) iliyoshindwa kazi hadi ikatupwa kwenye kapu la taka leo imepandishwa chati kwamba inafanya kazi vizuri...This is a paradox.

Ila sina wivu...kama kawaida ya DC
(formerly known as babu DC, kabla yule mchawi/mwanga/mlozi na kikongwe wa Laliondo hajachafua hali ya hewa)!!!
 
Kamanda nakutahadharisha kutokula mishikaki kuna njema imekamatwa katulisha mishikaki ya paka for 5yrs yu kanti bilivu.
hiyo njemba ni memba wa JF? nakumbuka hashy wakati anakutana na michelle alikuwa na biznez kama hiyo lakini akaweka tinted kwamba anafanya BOT
 
jana si tulikuwa pamoja kule chit chat tunadanganyana? au ushasahau ukaniambia nikikupatia ujauzito utafurahi mimi nikakwambia namuogopa mungu. kumbuka vizuri lizzy!

Hehehehe!Naripoti ABYUZI kwa herufi kubwa!Ila hata hivyo uwezo huo huna so ngoja nipotezee tu!
 
dah! ina maana ubabu umeusaspendi? tumejaribu kutoa new version ya klorokwini. coming soon
 
hiyo njemba ni memba wa JF? nakumbuka hashy wakati anakutana na michelle alikuwa na biznez kama hiyo lakini akaweka tinted kwamba anafanya BOT
Hahaha! sasa hivi nachagua nyama inakatwa naona au kuku kwa Bonge kona bar anafuga mwenyewe.
 
Hehehehe!Naripoti ABYUZI kwa herufi kubwa!Ila hata hivyo uwezo huo huna so ngoja nipotezee tu!
sasa nikipigwa ban, nani atakupatia hela ya cafe?, cpu wenyewe ameniPM nimuazime raba anataka kukutoa out.
 
Hahahahahahahah
Mbavu zangu
klorokwin wewe hufai kwa kweli
Utawafanya hawa wakoloni waniambie nenda home
Na usirudi
jinsi ninavyocheka mmhhh
 
dah! ina maana ubabu umeusaspendi? tumejaribu kutoa new version ya klorokwini. coming soon

Mkuu kwa sasa ubabu ni nuksi...ni noma. unaweza kushangaa kila aina ya gari zimesimaa mlangoni kwako..Nitawapa nini wakati mimi siyo Sangoma?

CQ ilishapigwa chini..Mshukuru sana AD amekukumbuka...Nadhani anakumbikia enzi zile wakati hiyo CQ inadunda mzigo kama zile trekta za Wachagga!!
 
Wel said AD, he is the only one and only.

Big up Klorokwini.

Hahahahahahahah
Mbavu zangu
klorokwin wewe hufai kwa kweli
Utawafanya hawa wakoloni waniambie nenda home
Na usirudi
jinsi ninavyocheka mmhhh
hehehe halaf ze finest akilog out nitakuwa na zawadi yako leo. naomba ufanye mazoezi ya kufumba macho kabisa
 
Kweli huyu kloro...mmmh!
Itabidi niende kwa babu akaimarishe mbavu zangu. Nahisi nazipoteza.
Huyu the finest nae havumi lakini yumo.
Uporoto na hashy nao.....mmmh!
 
hehehe mkuu unaweza kutumia hilo jina kupata jero la ugali, si unajua babu anachaji jero kwa service.
 
sasa nikipigwa ban, nani atakupatia hela ya cafe?, cpu wenyewe ameniPM nimuazime raba anataka kukutoa out.
Hehehe hela ya cafe wakati nafanya kazi cafe?!Alafu Sipiyu hua havai vitu vya watu...bora atembee peku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…