Ukweli kuhusu kununua views YouTube

Hahahaa yani dimpoz aligusa pabaya sana, watu mpaka wanapeleka wadau redion wakasafishe hali ya hewa hahahaha. Clouds mnajitahd kusafisha hali ya hewa lakin wapi. Kununua views imetrend kuliko kupumuliwa hahahah
 
Kununua view iko sawa na kupromote post ktk fb page....kinachofanyika nikama kuipin kwa watembeleaji wa youtube waione so atakaye shawishika ataitazama yan inawekwa kwenye ile MUST WATCH,POP IN TZ,USER ALSO WATCH THIS, SURGETION NK...HILI SUALA WANALIELEWA ZAIDI WANAOPROMOTE FB..Ni ufaham wangu naweza kosolewa
 
Sasa wale timu yetu pendwa ya kameruni si mnawakata maini kabisa jamani siyo vizuri hvyo mnavyoleta data kiasi hiki
 
Yemi alade alishawahi kuhusishwa na kashfa Kama hiyo katika nyimbo ya john sasa unavyosema tz tu sio kweli hata davido alishawahi kusema "stop buying views soon they will catch you " sasa sijui alikuwa anamwambia nani
YouTube sio wajinga mpaka wampee award mtu anayenunua views
 
tatizo hii ishu ilianzinshwa na kuaminishwa na wasanii wavivu wenye wivu wa maendeleo ya wanaovuja jasho wanaotegemea kudandia mgongo wa simba ili nao wawike, huyu alienazisha si alikuwa anakula bata soain anapiga selfie na kina rooney huku chibu anapromote video zake mitandaoni
 
Hahahaa yani dimpoz aligusa pabaya sana, watu mpaka wanapeleka wadau redion wakasafishe hali ya hewa hahahaha. Clouds mnajitahd kusafisha hali ya hewa lakin wapi. Kununua views imetrend kuliko kupumuliwa hahahah
Unahemka
 
mfa maji haishiwi kutapa, ndo jamaa yetu , mziki umegoma amerudi kwenye hzi, aombe kipindi clouds
Na hata leo Clouds walizungumza na mtu kutoka youtube akaelezea hiko kitu HAKIWEZEKANI.
 
Toka siku ya Kwanza hoja hii inaletwa nilipinga hapa, wazungu sio wajinga au wavivu kama waafrika, wazungu wakulipe pesa kwa views halafu wawe views wakununua thubutuu!!
 
Clouds fm ndio nini.
Ukisubiri kila siku clouds wakupe ukweli utachelewa ndugu.
Angaika kutafuta ukweli.
....100% Nina huwakika kuwa Views Wananunuliwa.
 
KUNA WATU WALIMWAMINI OMMY DIMPOZ haswa wale wenye elimu ndogo kuna vitu vitano kama una akili timamu unatakiwa ujiulize

1. JE UNAWEZA KUNUNUA VIEWERS KWENYE YOUTUBE ACCOUNT YENYE MATANGAZO YA ADSENSE (Hiyo haiwezekani kwa kua ni against their terms and conditions)-manyumbu waliamini.

2. JE YOUTUBE WATAWEZAJE KUKUPA TUZO WAKATI UNANUNUA VIEWERS-hiyo haipo kwa kua ni against terms zao, na kabla ya kutoa tuzo lazima walifanya uhakiki wa account yake ya youtube, kwa robots na personal review- manyumbu hawana hiyo akili kufikiria hilo..

3. KUNA VIDEO YA CHEGGE FEAT DIAMOND ILIVUNJA RECORD YA VIEWERS YOUTUBE KWA VIDEO ZA CHEGGE.. je inamaana diamond alimnunulia chegge viewers..
kuna watu hawana huo ufahamu..

4. Diamond kwenye social media anakimbiza sana kwa africa na yupo active i.e facebook ana page yenye likes 2millions, instagram anakimbiza nadhani 2millions ++, twitter anakimbiaza.. ana-subscribers kibao wa youtube kuliko Mtanzania yoyote i thinks 200,000+++ na hizi zinaongeza viewers balaa,

diamond ana fun base kubwa Africa, burundi rwanda, nigeria, Uganda etc maeneo yote hayo ommy dimpoz hajulikani kabisa.. kwenye hizo social networks anapata viewers kibao.. Hapa washabiki wa ommy dimpoz wameshidwa kujiuliza nadhani ni elimu ndogo kichwani..

5. Vipi kuhusu millard ayo mbona anakimbiaza kwa viewers ila hawakumtaja na amemkomalia diamond.. HII NI DALILI TOSHA ZA CHUKI BINAFSI KWA DIAMOND KUTOKANA NA MAFANIKIAO NA CHUKI BINAFSI..

****NOTE **** MPAKA YULE MFANYAKAZI WA YOUTUBE AME-PROVE DIAMOND HANUNUI VIEWERS ILA KUNA WATU BADO WATABISHA...ELIMU ELIMU ELIMU..
 
kama viewers wa youtube wananunuliwa bhas itakuwa na huyu Faiza fox ananunua likes humu jf!
 
Wazungu wajinga tu.. Hackers wanaiba mabillion itakuwa viewers wa YouTube
Mtu ambaye hata kuprogram simple calculator huwezi unathubutu kuwaita wazungu wajinga. Inahitaji ujasiri. Anyway google lini umesikia systems za google zimekua hacked?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…