Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli unajiita hvo kwenye avatar yako shida ipo na utatakwa kweliHahahaa yani dimpoz aligusa pabaya sana, watu mpaka wanapeleka wadau redion wakasafishe hali ya hewa hahahaha. Clouds mnajitahd kusafisha hali ya hewa lakin wapi. Kununua views imetrend kuliko kupumuliwa hahahah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama kweli unajiita hvo kwenye avatar yako shida ipo na utatakwa kweli
YouTube sio wajinga mpaka wampee award mtu anayenunua viewsYemi alade alishawahi kuhusishwa na kashfa Kama hiyo katika nyimbo ya john sasa unavyosema tz tu sio kweli hata davido alishawahi kusema "stop buying views soon they will catch you " sasa sijui alikuwa anamwambia nani
Kawadanganye mabwepandefungua YOUTUBE Account and then jisajili na Vevo Ukishamakiza Record tukio lolote lenye kuteka Hisia kwa Jamii Alafu liweke kwenye Account yako ya YouTube.
Baada ya hapo nitafute Inbox nikupe Process za kununua Views .
UnahemkaHahahaa yani dimpoz aligusa pabaya sana, watu mpaka wanapeleka wadau redion wakasafishe hali ya hewa hahahaha. Clouds mnajitahd kusafisha hali ya hewa lakin wapi. Kununua views imetrend kuliko kupumuliwa hahahah
Wanaohemka ni wale wanaojitahd kujisafisha maredion na kwa mitandao kuwa hawanunui views hahaha. Dimpo mwenye keshasahauUnahemka
Youtube huwa wanatoa award kwa mtu anayenunua views?Wanaohemka ni wale wanaojitahd kujisafisha maredion na kwa mitandao kuwa hawanunui views hahaha. Dimpo mwenye keshasahau
Na hata leo Clouds walizungumza na mtu kutoka youtube akaelezea hiko kitu HAKIWEZEKANI.
Hapewi tena, ashachafukaaaaYoutube huwa wanatoa award kwa mtu anayenunua views?
Mtu ambaye hata kuprogram simple calculator huwezi unathubutu kuwaita wazungu wajinga. Inahitaji ujasiri. Anyway google lini umesikia systems za google zimekua hacked?Wazungu wajinga tu.. Hackers wanaiba mabillion itakuwa viewers wa YouTube