Ukweli kuhusu kuwa na mwandiko mdogo na uchoyo

Asante mkuu.. naandikia mkono wa kulia japokuwa am left handed.. huwa nalazia shingo na karatasi au daftari upande wa kushoto ..
Mwandiko wangu ni mcharazo kuelekea kulia na mdogo.

Asante nmejifunza kitu hapo .. mimi sio mchoyo ila nna kaubinafsi tu
 
Ohoo! Nionavyo watu wenye miandiko midogo wanakuwa na hulka ya upole kitabia,watu wataratibu kiujumla zile hulka za upole Kama mimi..😜

Swala la uchoyo nafikiri si lakiuandishi bali hulka au mazingira aliyokulia mtu, isipokuwa watu wa hulka ya upole huchukulia wachoyo maana hujikuta muda mwingi wana spend peke yao,so mambo yao yanakuwa yanaonekana Kama ya kibinafsi wengine hutafsiri Kama uchoyo.! Hawa watu wa aina hi mpk uzoeane nao ndo utawaelewa.
 
Wakuu salaam,

Mie nina swali nauliza

Eti ni kweli kuwa mtu mwenye mwandiko mdogo ni mchoyo?

Na kuna uhusiano gani kati ya mwandiko wa mtu na tabia zake?
Bahili! Ubahili na uchoyo ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…