Ukweli kuhusu mahusiano

Ukweli kuhusu mahusiano

Smooth Criminal

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
437
Reaction score
867
Mahusiano yana usiri mkubwa sana kiasi cha kujirudiarudia kwa watu wengi. Ufuatao ni ukweli kuhusu mapenzi na mahusiano

• Lazima muwe tofauti, mmoja mtulivu mwingine awe kicheche(ukweli mchungu)

• Lazima mmoja awe wa kujishusha au kuonekana mjinga kwa mwenzake(akianza kuonesha kujua mambo ndo mwanzo wa kuachana)

• Ni ngumu kupata mtu unayempenda. daima unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi(solution ni kukubali kubadilika kwa mtu anayekupenda kwa ku-focus kuangalia zaidi mazuri yake ambayo kila mtu lazima anayo; na si udhaifu au mabaya yake. Ni ngumu kumbadilisha mtu lakini ni rahisi sana wewe kujibadilisha)

Moja ya kitu kinachofanya dunia ionekane ni sehemu nzuri na tamu kuishi ni "Utofauti" katika kila kitu, tunatofautiana ndo maana kila mtu anapenda ambacho hana automatically.


Smooth Criminal napita zangu🚶‍♂️
 
Back
Top Bottom