Ukweli kuhusu majini

Uwepo wa majini ni imani sio fact, kosa mnalofanya nyinyi watoto wa majini ambao mnaoamini hao baba zenu wapo ni imani kuifanya fact.

Imani ni vitu vya kusadikika na visivyothibitishika bayana. Facts ni vitu vinavyoweza kuthibitishika kwa kuona,kushika,kugusa,kunusa,kupapasa,kusikia n.k
 
Hisia za binaadamu ni fact au imani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…