gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Uwepo wa majini ni imani sio fact, kosa mnalofanya nyinyi watoto wa majini ambao mnaoamini hao baba zenu wapo ni imani kuifanya fact.
Imani ni vitu vya kusadikika na visivyothibitishika bayana. Facts ni vitu vinavyoweza kuthibitishika kwa kuona,kushika,kugusa,kunusa,kupapasa,kusikia n.k