Ukweli kuhusu mgogoro wa Flora Mbasha na mumewe.

Ukweli kuhusu mgogoro wa Flora Mbasha na mumewe.

Status
Not open for further replies.
kwani akiliwa ti.go wewe tatizo lako nni

au kakutaa TAFUTA ELA UKALE TIGO NA WEWE
 
....kumbe hawa waimba GOSPEL wanatumia nyimbo zao kuficha uchafu wao.... HAISEE!
 
Ndugu zangu wana JF,jana nilimwandikia waraka maalumu Flora mbasha na nikamuuliza maswali kadhaa ambayo hadi sasa hajajibu japokuwa naye huingia humu,wengi wetu tumegawanyika kuhusu mgogoro huu,ila ukweli ni kwamba Flora anatembea nje tangu siku nyingi sana,kwa mlioiona mada yangu jana mi namjua Flora A to Z,jambo la kusikitisha ni kwamba Flora anamsimanga mumewe kwa sababu za kiuchumi,coz hawara yake ana kipato kikubwa,huwezi kuamini kuwa anadiriki hadi kumpa tigo hawara yake,hapa JF wengi wetu siyo great thinkers,JF imevamiwa,hamjiulizi kwa nini mwanamke anagombana na mume wake badala ya kwenda kwao anaenda hotelini,kusoma hamjui,hata picha pia hamuoni? Mbasha amekamata sms nyingi sana za mapenzi ktk cm ya mkewe,kanyimwa sana unyumba,hata hivyo ni mvumilivu sana,tangu lini mke mwema akakimbia nyumba yake? kama mumewe ni mbaya angetulia kwake ili jamii ione,na siyo kwenda hotelini,huko analiwa tigo kila siku,shetani anawatumia sana hawa walokole feki na ndo ma agent wake, wenye akili wametambua ukweli.

Sawa Florah ni malaya, sasa huyo Mbasha kwa kufanya hayohayo ndio anasawazisha?? au ni sahihi? au ni justification?

hebu tuache ujinga, kama amekamata sms nyingi, na ni kijana rijali, kwanini anakomalia hapohapo hadi anaishia kubaka??

Mbasha alijua anaoa nini kwani waliompiga madongo walikua wengi sana

kosa la kubaka hukumu yake ni tofauti na kosa la kumpa tigo hawara... tena kwa hiyari yake
 
Binadamu tuna midomo sana kuongelea na kushadadia hats yasiwahusu huyo aliye msafi aanze kumtupia mawe basi na ww mleta mada kesi za mke na mume ziache maamuzi ya mwisho yapo kwao kesho ukiwakuta wamekumbatiana utasema nn kila shetani na mbuyu wake unayemuona firauni kwako dhahabu kwa mwingine tupunguze midomo na uchafuzi
 
Ndugu zangu wana JF,jana nilimwandikia waraka maalumu Flora mbasha na nikamuuliza maswali kadhaa ambayo hadi sasa hajajibu japokuwa naye huingia humu,wengi wetu tumegawanyika kuhusu mgogoro huu,ila ukweli ni kwamba Flora anatembea nje tangu siku nyingi sana,kwa mlioiona mada yangu jana mi namjua Flora A to Z,jambo la kusikitisha ni kwamba Flora anamsimanga mumewe kwa sababu za kiuchumi,coz hawara yake ana kipato kikubwa,huwezi kuamini kuwa anadiriki hadi kumpa tigo hawara yake,hapa JF wengi wetu siyo great thinkers,JF imevamiwa,hamjiulizi kwa nini mwanamke anagombana na mume wake badala ya kwenda kwao anaenda hotelini,kusoma hamjui,hata picha pia hamuoni? Mbasha amekamata sms nyingi sana za mapenzi ktk cm ya mkewe,kanyimwa sana unyumba,hata hivyo ni mvumilivu sana,tangu lini mke mwema akakimbia nyumba yake? kama mumewe ni mbaya angetulia kwake ili jamii ione,na siyo kwenda hotelini,huko analiwa tigo kila siku,shetani anawatumia sana hawa walokole feki na ndo ma agent wake, wenye akili wametambua ukweli.

Dah! Hapo kwenye tigo sasa! Mkuu nitumie namba yake. Jinsi alivyo na ---- la kutosha sijui raha yake inavyokuwa aisee!
 
Binadamu tuna midomo sana kuongelea na kushadadia hats yasiwahusu huyo aliye msafi aanze kumtupia mawe basi na ww mleta mada kesi za mke na mume ziache maamuzi ya mwisho yapo kwao kesho ukiwakuta wamekumbatiana utasema nn kila shetani na mbuyu wake unayemuona firauni kwako dhahabu kwa mwingine tupunguze midomo na uchafuzi

Na wewe acha kushangilia u.h.a.r.o unatetea ujinga.
 
OK asante mie nashabikia uharo nikuulize ww ndoa ya Flora inakuhusu nn na wewe ni kama nani kwao kwahiyo faraja yako ni kuchafuka kwa mwingine kushabikia na kuongeza uharibifu.......
 
Prince Hope
Sitaki kubishana na watu wenye kujihesabia haki ka weye. Kama ulinisoma vizuri, nasema msiwe washabikia anguko la wengine.
Hilo jambo la kuliwa tigo na machafu mengine sidhani ka tuna haki ya kuyatamka hayo. Aliwe tigo au aliwe kiboga kwangu hayanihusu wala hayatanifanya nimtangaze kwani sikuwepo wala sikuona kwa macho yangu bali ni kuambiwa na mtu mwingine ambaye naye hakuwepo bali anakisia.
Kama Mbasha ndiye anamfanyia uchafu huo Flora asidhani kiila mwanamme mwenye akili timamu atamfanyia mwanamke mwenye heshima zake usodoma huo. Huko mbele kumekuwa nini usione kuwa ...
Sitaki kuendelea na maneno yasiyo na faida kwetu na kwako pia. Simtetei Flora natetea utu wake tu. Anastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa kama weye na miye. Kama amechepuka kwa njia yeyote hana haki kwani ni dhambi na haswa kwa mtumishi wa Mungu kwa nyimbo za Injili, She will account for her sins. Hapo ni mbele ya Mungu wake wala si vinginevyo.
Weye umeoa? Je hujawahi kuchepuka au kumchepusha mwingine nje ya ndoa yake?? Acha ushabiki wa kitoto. Kwetu wanauita "Wivu wa kike". Kama wapo walio mchepusha Flora, na waendelee miye sioni wivu kwani Flora si mke wangu.

When you give yourself a name, such a name must be put in to test! Flora ana jitanabaisha kama Muinjilisti kwa njia ya nyimbo za Injili. Mambo anayo yafanya hayafanani na kile anacho kihubiri, so waache watu waseme wewe...She preach water but she drinks wine! Nyambaff!
 
Naona umejipanga kuvunja hii ndoa kwa kuzidi kuchochea moto.Kama una nia ya dhati nenda huko kwao wakutanishe na wapatanishe.Unavyoleta haya maneno hapa sisi tukusaidie nini!? au tuwasaidie nini hao kina Mbasha?!

Aivunje ndoa mara ngapi? mbona watu mnaongea kama mmetokwa na akili? Yesu mwenyewe alishasema , mwanamke haachwi ila kwa habari ya uzinzi. Sasa mpaka hapo unataka kitu gani kingine? Acha watu waongee bana
 
Mke aliyejivika ulokole huku akiliwa tigo kwa ushuru wa shilingi chache hafai hata kidogo.
 
Spotlight spotlight..some get shine some get burned
 
Mke aliyejivika ulokole huku akiliwa tigo kwa ushuru wa shilingi chache hafai hata kidogo.

Kweli watu mmeamua kujivika ukichaa kabisa. Sawa tu jamani, hayo mnayasikia kwa wengine lakini kama angekuwa mkeo sijui kama ungejitanabaisha hapa JF kutuambia hayo yanayo tendeka.
Msimkosee Mungu nyie watu, huyo mama wa watu mnamtukana kaliwa tigo, alifanyiwa sokoni au njia panda??? Mmeambiwa na mlaji wake au?? Tusiwe na husuda kiasi hicho jamani. Hata kama ni kumchukia semeni kaiharibu ndoa si hayo mnayo eleza kama kwamba mlikuwepo.
Nasema Mwogopeni Mungu. Ole wako umnyosheaye Mtumishi wa Mungu kidole na kumfyolea. Bwana ndiye atamtetea mwenyewe. Flora ni Mtumishi wa Mungu wala si vinginevyo. Aliwahi kusimama majukwaani na mimbarini na nafsi zikaokoka leo unasimama na kumtangaza ati anagawa tigo. Si uende nawe ukapokee au ukanunue kama ni kitu cha maana?
 
kwani akiliwa ti.go wewe tatizo lako nni

au kakutaa TAFUTA ELA UKALE TIGO NA WEWE

Mimi nilileta habari hapa,sasa wewe unaniambia eti mi nilikuwa namtaka akanikataa,hayo tena yamekujaje? au wewe si great thinker? unaenda mbali zaidi kwa kuniambia nitafute hela ili nami nile tigo,mimi hela ninazo kama wewe unataka kunipa tigo ni PM tu tuyamalize,maana umeniuliza nashangaa nini flora kutoa tigo? inaonekana na wewe unatoa,ni pm.
 
Kweli watu mmeamua kujivika ukichaa kabisa. Sawa tu jamani, hayo mnayasikia kwa wengine lakini kama angekuwa mkeo sijui kama ungejitanabaisha hapa JF kutuambia hayo yanayo tendeka.
Msimkosee Mungu nyie watu, huyo mama wa watu mnamtukana kaliwa tigo, alifanyiwa sokoni au njia panda??? Mmeambiwa na mlaji wake au?? Tusiwe na husuda kiasi hicho jamani. Hata kama ni kumchukia semeni kaiharibu ndoa si hayo mnayo eleza kama kwamba mlikuwepo.
Nasema Mwogopeni Mungu. Ole wako umnyosheaye Mtumishi wa Mungu kidole na kumfyolea. Bwana ndiye atamtetea mwenyewe. Flora ni Mtumishi wa Mungu wala si vinginevyo. Aliwahi kusimama majukwaani na mimbarini na nafsi zikaokoka leo unasimama na kumtangaza ati anagawa tigo. Si uende nawe ukapokee au ukanunue kama ni kitu cha maana?

Acha ujinga wewe,mtumishi gani wa Mungu anakimbia familia yake na kwenda kupanga gest? Kama ameamua kuasi ajianike jamii yote ijue,siyo kuendelea kujifanya ameokoka.
 
hakuna anayeweza kuujua ukweli WA mgogoro wa ndoa ya flora na mume wake zaidi ya wao wenyewe!haya wanayoyasema ktk vyombo vya habari ni kwamba kila mmpja anavutia kwake ili mwenzake aonekane ndio chanzo cha mgogoro!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom