Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta
Hii hadithi bana teh teh teh
 
Tumeshajua ulikuwa Italia, sasa jibu hoja... Ni maigizo au kweli??
 
Hivi kweli unadhani kuwa ni kweli?..hizo ni kama holywood movies..huwezi kupigwa na kiti cha chuma au nyundo ukabaki mzima mkuu...angalia ngumi..unajua kwa nn waliweka gloves?..kupunguza ukali wa ngumi..la sivyo wangekufa wengi!

Afu hebu jiulize kama mchezaji anaruhusiwa kumpiga refarii.... kuna umuhimu gani wa uwepo wa refarii??
 
mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta

What are you trying to tell us?
 
Hivi Kwa Nini Thread Nyingi Za Apa JF, Unakuta Ile Heading Inaelezea Kitu Flani Cha Kukupa Habari, Lakini Ukiifungua Usome Unakutana Tena Na Swali...

Kwa Nini Heading Isiwe Kwa Mtindo Wa Swali Ili Muhusika Akifungua Thread Ajue Anaenda Kuchangia Kitu???

Hii Hali Inanikera Kwa Kweli....

tapika sasa
 
mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta
Mkuu mimi bado napata mashaka kiduchu nikiangalia ule mchezo, inakuaje pale mtu anapopigwa na kiti cha chuma kichwani mpaka kiti kinasambaa na mtu anakuwa yupo fit hata kuchubuka wala kuvimba.
 
Ngumi nyepesi kama za kina Cheka watu wanatoana damu sembuse mieleka ya WWE daaa!!!.
 
waTANZANIA NI wapumbavu sana yaani mtu kusema niliwahi kwenda marekani watu wanaona ni kitu cha ajabu sana kana kwamba marekani ni mbinguni,jamani ni matope gani yaliyowajaa vichwani mwenu? kuna watanzania wanaenda kule kila wiki kuna kabinti kanamiaka saba pekee alitoka miami hadi dar peke yake as young flyer bila wazazi wala mtu wa kumsindikiza,jaman hebu tuachen upuzi wa kupaona marekani kama mbinguni
 
mimi nimefika los angeles ,nilifikia katika familia ya kilatino ,yule mama mwenye nyumba ndio alikuwa rafiki wyangu kwa muda mrefu so ikafikia hatua akanitumia mwaliko na vitu vingine niende kule as her son, yule mama alikuwa na mabint wawili na mvulana mmoja,mwanawe wa kiume aitwae arth ni mfanyakazi katika jumba la WWE ,alinipa tiket ya dollar 200 niende uwanjani.aise trust me wenzetu wamejipanga sana tena sana ndo maana sisi huku afrika kila kitu tunaona wanafanya computer,trust me hakuna computer katika kupigana kwao,ndio maana unakuta inaweza ikakuchukua hadi ten years kufanya mazoez na kuingia wwe,pia nilipata bahat kuona tukio moja la triple h kama skosei alikuwa ndani ya gari lake kisha akatokea mwenzake walikuwa na beef akaligonga gari la triple h na kuingia kwenye maji huku triple h akiwa ndani ya gari,TRUST ME WATANZANIA WENZANGU WENZETU HAWAKURUPUKI KUFANYA VITU ndo maana kila kitu sisi tunaona kama vile wanatumia kompyuta

Sawa tumeshajua ulikua Marekani.
Sasa tujuze,ni mchezo gani mwingine duniani ambapo refa huwa anaweza pia kupigwa,watu watano kumchangia mtu mmoja,mtu akishindwa ngumi anabeba hata kiti na kumtwanga mwenzake nk. Tena anaye pigwa na kiti,nyundo,rungu nk siku zote hata hatoki damu! Ni akili za kitoto tu zitakutuma useme ile ni real
 
Back
Top Bottom