Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

Hii hadithi bana teh teh teh
 

Tumeshajua ulikuwa Italia, sasa jibu hoja... Ni maigizo au kweli??
 
Hivi kweli unadhani kuwa ni kweli?..hizo ni kama holywood movies..huwezi kupigwa na kiti cha chuma au nyundo ukabaki mzima mkuu...angalia ngumi..unajua kwa nn waliweka gloves?..kupunguza ukali wa ngumi..la sivyo wangekufa wengi!

Afu hebu jiulize kama mchezaji anaruhusiwa kumpiga refarii.... kuna umuhimu gani wa uwepo wa refarii??
 

What are you trying to tell us?
 

tapika sasa
 
sasa mbona wakati mwingne wanawapigaga mpaka marefa kwa nn??

hawaruhusiw kumpiga mtu asiye mwana mieleka na endapo atafanya hivyo huwa anaweza kufungiwa pamoja na fain au au faini ndefu sana
 
Mkuu mimi bado napata mashaka kiduchu nikiangalia ule mchezo, inakuaje pale mtu anapopigwa na kiti cha chuma kichwani mpaka kiti kinasambaa na mtu anakuwa yupo fit hata kuchubuka wala kuvimba.
 
Ngumi nyepesi kama za kina Cheka watu wanatoana damu sembuse mieleka ya WWE daaa!!!.
 
waTANZANIA NI wapumbavu sana yaani mtu kusema niliwahi kwenda marekani watu wanaona ni kitu cha ajabu sana kana kwamba marekani ni mbinguni,jamani ni matope gani yaliyowajaa vichwani mwenu? kuna watanzania wanaenda kule kila wiki kuna kabinti kanamiaka saba pekee alitoka miami hadi dar peke yake as young flyer bila wazazi wala mtu wa kumsindikiza,jaman hebu tuachen upuzi wa kupaona marekani kama mbinguni
 

Sawa tumeshajua ulikua Marekani.
Sasa tujuze,ni mchezo gani mwingine duniani ambapo refa huwa anaweza pia kupigwa,watu watano kumchangia mtu mmoja,mtu akishindwa ngumi anabeba hata kiti na kumtwanga mwenzake nk. Tena anaye pigwa na kiti,nyundo,rungu nk siku zote hata hatoki damu! Ni akili za kitoto tu zitakutuma useme ile ni real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…