Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

Daaah mkuu umenikumbusha jamaa yangu mmoja wakati tukiwa form four ukimwambia mieleka uwongo anaanza kulia
Teh teh teh
 
Kuna kitu huwa najiuliza kama mieleka ni uongo, kwanini maelfu ya mashabiki yanajazana ukumbuni kuangalia uongo?
Ni kama watu wanavyolipia tiketi na kujazana ukumbini kuangalia mazingaombwe.
Ni refreshment na enjoyment tu!
 
Tutake radhi ndugu,huezi sema watanzania WAPUMBAVU ,MTU mmoja utujumuishe wote, hiyo haikubariki Ina maana Baba na Mama yako?
 
Tutake radhi ndugu,huezi sema watanzania WAPUMBAVU ,MTU mmoja utujumuishe wote, hiyo haikubariki Ina maana Baba na Mama yako?

hebu ona wenzio humu ndani kuskia mtu aliwahi kwenda marekani mapovu yanawatoka as if marekani ni heaven
 
wewe huna akili kabisa punguza wivu wa kike utakosa nafas ya kujifunza,kwani marekani ni mbinguni? kuna wenzio wanakwenda huko almost kila wiki
Wewe mwenye akili jibu swali basi, huu mchezo ni kweli au maigizo?? Kuwa kwako Marekani hakuna uhusiano wowote na mada.
 
Ngumi nyepesi kama za kina Cheka watu wanatoana damu sembuse mieleka ya WWE daaa!!!.
Hahahahaah kiongozi msome huyu mtaalam wa Marekani hapa chini. Watu wanameza vidonge vya madolari kibao, hata ukitandikwa na viti vya chuma kichwani vinavunjika vyenyewe bila kupenda...
kuna vidonge huwa wanatumia ili wasichanike hovyo,kwa mwaka mara mbili full dose ni dollar 8000
 
Hahahahahahaa..... maajabu ya dunia. Mpaka huwa najiuliza kama mpaka refarii anapigwa, kuna umuhimu gani wa huu mchezo kuwa na refa? Watu si watwangane bila mwamuzi mpaka mmoja wao asalimu amri??
 
Wewe mwenye akili jibu swali basi, huu mchezo ni kweli au maigizo?? Kuwa kwako Marekani hakuna uhusiano wowote na mada.

endelea kuota kwenda marekani jinga wewe,yaani leo ndio nimekudharau kisawasawa.
 
Mkuu mimi bado napata mashaka kiduchu nikiangalia ule mchezo, inakuaje pale mtu anapopigwa na kiti cha chuma kichwani mpaka kiti kinasambaa mtu anakuwa yupo fit hata kuchubuka wala kuvimba.

Mkuu mbona wengine huwa wanatoka damu au wewe hujawahi kuona?nafikiri vile viti vitakuwa vimetengenezwa na chuma laini na pia inakuwa na uwazi ndani kama bomba.
 
Hahahahahahaa..... maajabu ya dunia. Mpaka huwa najiuliza kama mpaka refarii anapigwa, kuna umuhimu gani wa huu mchezo kuwa na refa? Watu si watwangane bila mwamuzi mpaka mmoja wao asalimu amri??

mle wanapigana kweli na kuna kanuni zake,vile viti unavyoviona havina uzito kama viti vya darasani kwenu,mle hapigwi mtu nyundo wala mshale,na hawapigi kila sehemu ya mwili,kuna baadhi hawagusi kabisa,mwisho kabisa mazoezi wanayofanya sio ya mwaka moja kama kina cheka,chakula wanachokula pia sio kama cha kina cheka,yaani kwa kifupi hadi mtu unamuona amesimama pale jua amepitia mlolongo mrefu sana cheka wenu anaweza kukata tamaa na pia wataalamu wa viungo na madokta ni wengi sana ndo sababu kila kitu mnaona mnadanganya,huwez fananisha US na TZ
 
kama kuna baadhi ya sehem haziguswi mbona wengi huvunjikaga mfano johncena alivunjika shingo
 
Hahahahahahaa..... maajabu ya dunia. Mpaka huwa najiuliza kama mpaka refarii anapigwa, kuna umuhimu gani wa huu mchezo kuwa na refa? Watu si watwangane bila mwamuzi mpaka mmoja wao asalimu amri??
Ndio maana mkuu maonyesho yale huwa wanaandika na kusema'do not try this at home'.
Pia baadhi ya maonesho utaambiwa' showtime...show business. Lielewe sana hilo neno..show business!
 
Ulikuwa na haja kweli ya kututukana watanzania WOTE?! Toa hoja ya kuwarekebisha hasa unaoona ni malimbukeni sio kusema watanzania ni wapumbavu sana!!
 
haya tumejua sasa kuwa ulikaa na walatino
 
hapa tunatafuta ukweli na tukubali kujifunza i dont think its ryt kumshambulia jamaa alie shuhudia ukweli.

ila mimi bado sijawa convinced khs dawa ya kupigwa nyundo usivunjike mifupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…