nani kakuambia hamna waganga wakristo au waganga wapagani?unadhani kila mganga lazima awe mwislamu,una akili finyu,unajaribu kutushawishi visivyokuwepo ,akina mkwawa na kinjekitile walijaribu kupambana na mkoloni ila walishindwa,hao unaodhani wangekuja kukutetea wewe ndio walikuwa wakoloni,nawachukia sana wamewatesa wazee wetu ,huo utumwa unaoongelea kwa kukukuweka kumbukumbu nzuri hao watumwa ndio wamarekan weusi,wabrazil nk ambao walikuwa wanatawaliwa na mzungu kwa njia ya utumwa ,kwahiyo ukweli ni kwamba ni mzungu ndiye aliyetutesa,kwenye utumwa,na akatutesa kipindi cha ukoloni. achana fikra zilizodumaa kwajili ya kulishwa elimu ya mkolon wakati wakristo wenyewe ndio wakoloni,jaribu kukua kifikra na uache lugha mbovu