Ukweli kuhusu Misri na utamaduni wa kale wa Africa unaonekana leo na sura halisi ya wamisri

Ukweli kuhusu Misri na utamaduni wa kale wa Africa unaonekana leo na sura halisi ya wamisri

nani kakuambia hamna waganga wakristo au waganga wapagani?unadhani kila mganga lazima awe mwislamu,una akili finyu,unajaribu kutushawishi visivyokuwepo ,akina mkwawa na kinjekitile walijaribu kupambana na mkoloni ila walishindwa,hao unaodhani wangekuja kukutetea wewe ndio walikuwa wakoloni,nawachukia sana wamewatesa wazee wetu ,huo utumwa unaoongelea kwa kukukuweka kumbukumbu nzuri hao watumwa ndio wamarekan weusi,wabrazil nk ambao walikuwa wanatawaliwa na mzungu kwa njia ya utumwa ,kwahiyo ukweli ni kwamba ni mzungu ndiye aliyetutesa,kwenye utumwa,na akatutesa kipindi cha ukoloni. achana fikra zilizodumaa kwajili ya kulishwa elimu ya mkolon wakati wakristo wenyewe ndio wakoloni,jaribu kukua kifikra na uache lugha mbovu
Kwani wapi nimesema ndio waganga pekee?Wewe ndio mpuuzi.Ukiangalia idadi na ukaribu wa uganga na imaniutaona hata hao waganga wakristu si sehemu ya ukristu.Hata wale kwristu wenye kufuata mila n hivyo kuwa washirikina na uchawi mwingine wa mizimu, nao pia wanatofauti sana na waganga wa Majinn.
 
whites they re-create world history,they delete in the history,black race,why original people in the worlds are BLACKS,australia aborogines who are blacks,native Egyptians who live in the desert are blacks,alexander the great broke Pharaoh of Gizza statute nose after realising t was flat african,black jews in ethiopia and malawi,native indians are blacks so called burush,from bengal,NAZI aryans did a research to find out why Blacks are supreme race!
Sasa mbona ujinga hamkuuachia?Au ndio ulishindikana futika kwa vile mliulinda vyema?Mbona matambiko na ibada mbaya hamkuzisahau?
 
nani kakuambia hamna waganga wakristo au waganga wapagani?unadhani kila mganga lazima awe mwislamu,una akili finyu,unajaribu kutushawishi visivyokuwepo ,akina mkwawa na kinjekitile walijaribu kupambana na mkoloni ila walishindwa,hao unaodhani wangekuja kukutetea wewe ndio walikuwa wakoloni,nawachukia sana wamewatesa wazee wetu ,huo utumwa unaoongelea kwa kukukuweka kumbukumbu nzuri hao watumwa ndio wamarekan weusi,wabrazil nk ambao walikuwa wanatawaliwa na mzungu kwa njia ya utumwa ,kwahiyo ukweli ni kwamba ni mzungu ndiye aliyetutesa,kwenye utumwa,na akatutesa kipindi cha ukoloni. achana fikra zilizodumaa kwajili ya kulishwa elimu ya mkolon wakati wakristo wenyewe ndio wakoloni,jaribu kukua kifikra na uache lugha mbovu
sidhani km na mimi nimesema hivyo.Ila walio hivyo ni wale waliokuwa na miguu ktk jadi,waliojisogeza ktk tamaduni za kiislam, na siku zote hawana support ya Ukristu.ILa waislam waganga wanajiiita sijui wa vitabu ni kawaida
 
hayo mapiramid yana maana gani kwa muafrika zaid ya utalii yale si makaburi tu,yaani tunajisifu kujenga makaburi badala ya kujisifu kuzuia vifo vinavyozulika ,ile sio miundombinu kusema wanaishi watu au magari yatapita au wanaifadhi nafaka ni ujinga tu kuabudu wafu
 
wenzetu wanayaweka na kuyatembelea kwa vile wanaamini kuna mengi wanahitaji jifunza na utaalamu wao uanvyoongezeka ndivyo wata unclock siri za zamani kupitia haya mabaki ambayo pengine ndio yamebahatika kubaki.wenzetu wanapigana kujua zamani walikuwa wapi,ukilinganisha na civilizations nyingine na sasa wapo wapi na wanakwenda wapi?Wanajua dunia ikigeuka watapotezwa ,ila wanataka wajue nani alikuwa akitafuta hilo na nani anaweza litafutahilo.Utalii ni zuga tuu na furaha ya upelelezi wao.
 
Hebu turudi katika sources zetu ha historia halafu tutambue historia ni ile iliotokea. Sio matamanio yetu kama science fiction movies.
Pia tusichukie sana binadamu wanaposhindwa kutambua significance ya mwingine. Ni kutokubahatika kupata exposure tu.
Nawasihi ndugu hapa hakuna wa kukubebea bango beba mwenyewe.
Kama wewe unatamani uhusishwe ya pyramids. Unahisi ni muhimu kwako basi fanyia kazi.
Source zangu ziliniambia watumwa wa afrika mashariki walienda visiwa vya bahari ya hindi na uarabuni na wengi walihasiwa ndio sababu hawajabaki wengi. Watumwa waliotoka west afrika walienda visiwa vya pasific na amerika. Lengo la historia makini ni kukusaidia kusogea mbele sio kubaki hapo.
Ukiangalia blacks wa afrika kusini inasikitisha jinsi walivyojiweka kwenye historia baada ya mauwaji ya soweto na ushujaa wa mandela. Hakuna somo wanalochukua hapo ni kusimulia tuuuuu.
Basi na sie tusibaki kwenye kusimulia na kuwa makumbusho.
Tufanyeje tutengeneze historia?
 
Jounl moja ya mambo ya medicn wanasema africans ni master race,wanasema wao kama wazungu wanakubali hlo na kukir waafrika walikuwepo kabla yao,mshangao wangu ni kuwa wanadai we are superior biologically,je vp kuhusu intellctl na mengne?
 
Why are human being so selfish? Plz get to know that civilization is determined by needs and the environment so it's not of intellectual correct to praise your civilization to be good and advanced than others without putting in mind those two variables.
 
Back
Top Bottom